Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Jaguar ndio kali zaidi kama ww ni mpenzi wa gari kutoka ulaya
Acha utani bhana, unalinganisha BMW na uchafu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaguar ndio kali zaidi kama ww ni mpenzi wa gari kutoka ulaya
Kuwa serious basi kwenye mambo mengine.Poapoa mkuu!.....ila kuwa na huruma na watoto wa JF,Mungu anakuona ujue!
Nunua gari utakaloweza kuuza kwa urahisi baada ya kuishiwa na hela ya ulaya ..Wengi wenu huwa mnakujaga na mbwembwe hizo halafu baada ya miezi michache mnaanza kusumbua mliotukuta bongo
master of the gameHuyu mnyama ni habari ingine kabisa mkuu wanguView attachment 660717
Jaguar Na BMW ni same classAcha utani bhana, unalinganisha BMW na uchafu?
Proper answer!Ni sawa kabisa, Sio watu wote ni wazoefu wa magari japo uwezo wa kununua upo.
Jaguar Na BMW ni same class
Basi Nissan itapendeza zaidiLand Rover defender kwani nafanya Doria?
huyo huyo boss. .ONTARIO huyu huyu wa JamiiForums
Huyo lavel yake ni starlet au sorinter hakuna cha bm benz wala jaguarushauri mzuri, atafute toyota rav4 zile za 2014 model hata ubalozini anauza hzo atajikuta analia machozi ya damu baada ya mbwembwe kuisha
Proper answer!
Mimi nakushauri kabla ya yote ingia kwenye calculator ya TRA ujuwe bei ya ushuru ndio uendelee na mengine.Naamini hapa JamiiForums kuna wataalam wa magari Na wabobezi mlio bobea. Niko UK kwa Malkia Na nimehitimu vyema masomo yangu.
Nataka kurudi January nchini Na nataka nirudi Na Usafiri wangu wa kunimuvusisha from point A to B. Je nichukue gari gani kati ya Mercedes Benz C 200 Na BMW M3 3series?
Ipi ni nzuri kwa barabara zetu za uswahilini, fuel consumption, availability ya spares Na durability. Bila kusahau swagga Na mtama nikiwa na cruise
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
kama amekaa nje kimasomo au kikazi kwa mwaka mmoja na zaidi anapata msamaha wa kodi kwa gari mojaMimi nakushauri kabla ya yote ingia kwenye calculator ya TRA ujuwe bei ya ushuru ndio uendelee na mengine.
Kuna gari zinapigwa mnada bandarini kwa bei ya kutupa kwa sababu muagizaji hakujipanga.
Mimi nakushauri kabla ya yote ingia kwenye calculator ya TRA ujuwe bei ya ushuru ndio uendelee na mengine.
Kuna gari zinapigwa mnada bandarini kwa bei ya kutupa kwa sababu muagizaji hakujipanga.