Sawa15km guaranteed... Naendaga msata na mafuta diesel ya Sh 15,000/= kwa bei ya Lita moja Sh 2000
Huyu njaa kali uwezi kujiita high unauliza mafuta wewe unaishi kwa madenge kama sio tandaleAlex ni magari kwa ajili ya watu low Class
Nina C200 ya W203 na sijawahi kupata taa ya cheki engine, tangu nimenunua ni mwaka wa 4 sasa.....Engine Code yake ni 272.Chukua BMW..nna experience na C220 benz..petrol,ipo very reliable inakimbia but shape sio nzuri.so kama ni utapenda sytle in driving chukua BM..ila jiandae vitaa vya chek engine..otherwise naona kati ya hizo mbili kama zinafanana tu kwa kila kitu kasoro shape..
Mkuu cheki plug.BMW au Benz iwe petrol au iwe diesel hamna ata inayokula mafuta..natumia ya petrol c 220 inakula km 13 per litre..sema saiv imeanza zingua engine inaleta miss ila ata ulaji wa mafuta haijaongezeka wala...na BMW ni vile vile..hazili mafuta asikudanganye yoyote..mwenye kusema zinakula mafuta anibishie kwa proof apa.