Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Nawashukuru sana
Ile Tanzania nilioiota KWA muda mrefu inaenda kutimia,kuanza KWA mchakato wa katiba mpya ni Nuru KUBWA kwetu!changamoto za kimfumo zinaenda kufa na Tanzania Mpya inaenda zaliwa rasmi!
Niwaombe wadau wawape ushirikiano wa kutosha kikosi kazi cha mkandala Ili mchakato ukamilike KWA wakati!
Viongozi wa Dini maombi yenu yanahitajika Sana wakati huu kuliko wakati Mwingine wowote!kitabu hiki ni nuru KWA kwa taifa letu tukiombee na tuwaombee wahusika uzalendo wao usizimishwe na tamaa ya rushwa za wasaka madaraka KWA sababu katiba ni zaidi ya madaraka ya matakwa ya mtu!
Niiombe kamati kuu ya ccm isichelewe kumjumuisha mzee Warioba kwenye kikosi kazi cha mkandala amalizie kazi yake ya kutupatia katiba mpya!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu kibariki kikosi kazi cha mchakato wa katiba Mpya.