technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Kwa hiyo kenge ni watu maskini?Hhhahahahahaha..... Msafara wa mamba na kenge wamo.
Gharama ya huo msikiti inajengwa hospitali ya kisasa pale Arusha! Kweli kupanga ni kuchagua.Msikiti wa bilioni ngapi vile
Haya ndio maisha ya watanzania walio wengi
Vipaumbele ni kujenga misikiti na makanisa
Hawa watasali na kuswali sangapi ?wakati hawana hata uhakika wa kulala??
Shame on you
View attachment 3684694