Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,215
Low thinking ability. Sehemu yenu sahihi ni Facebook. Pelekeni pumba zenu huko.
Hayo maquote yake hata sijayaelewa
yupo yupo kama changudoa aliekimbiwa bila kulipwa
Akajichambe ndio arudi hapa sio kuongea kama anatapika utafikiri jamii ya baba yake akwendreeeeee
Shiriki tu ila badiebey ataipata kazi humu jamvini
we matola una wivu mwili wangu wa kimazoezi wakati wako minyama uzembe hapo niko mazoezi ulitaka nivae suti
Demu wako anachukulia poa tu???
Hayo mambo za machine za TRA yanaingiaje jukwaa ili?
Hizo mambo peleka jukwaa husika si apa
na wewe umeingiaje jukwaa ili,kwani wewe ni celebrity??nawe peleka mambo zako jukwaa la matangazo au la biashara ...
acha tu yanii,ila bebe akichaguliwa kwenda natupia picha humu mnijuwee nafananaje,...
You r body is killing. U r good. Just gooooooooo.kama nawe Ni umetaka from your heart.
Cjawapga kura it wil be da first time for me to do so
Low thinking ability. Sehemu yenu sahihi ni Facebook. Pelekeni pumba zenu huko.
shoga,behind a successful man there is a woman,akishinda mtanikumbuka ujuee..lols
Shiriki kama unashiriki tatizo hua haujiamin mbona hata kuna wanaomponda money stunna na hakasiriki
Mhhhhhhhh wa'tized muna manenoooooo...
Darling,USHAURI NIUSEME HAPAHAPA,GO FOR IT....there is nothing to lose...we mtoto wa kiume and still young kiaina,me naona for women ndo inakuwaga ishu...
Imagine ukishinda..hhehhehe yale mamilioniiii,tuta-spend ajeee....
Ukiwa winner TS THE BEST THING,and i really wish uchaguliwe uende..
Usipokuwa winner pia hakuna ulichopoteza cz u have met peopl,umepata exposure ya maana,deals za hapa na pale,modelling ,biashara nk zitakuwepo kwa wingiii
Wengi humu naona wamekariri maisha tht u go to school-get a job-get married-babies-and the boring life continues
IT DOESN'T HAVE TO BE LIKE THAT,LIFE HAINA FORMULA....just do what u wanna do and what makes u happy......
Em piga picha ukishashinda madolari yaleee....ehhheheiya na mie ntapata kick niwe famous,hehhehehhe RED CARPETS bongo ntatimbajee...full mapesaa and the goodlife,full kwenye blogs za watu...
Enewei inshort....GO STUNNA,U NEVER KNOW WHT BBA GOT IN STORE FOR YA....
mwambie aende akajiwakilishe mwenyewe lakin sio kuwakilisha tanzania, huyo hayuko tanzania, sasa atakilishaje nchi? nyie ndio mnachafua jina la tanzania kwa upuuzi wenye...tunataka mbongo halisi mweusi tiiiii....mwambie akashiriki mashindano ya urembo
mwambie aende akajiwakilishe mwenyewe lakin sio kuwakilisha tanzania, huyo hayuko tanzania, sasa atakilishaje nchi? nyie ndio mnachafua jina la tanzania kwa upuuzi wenye...tunataka mbongo halisi mweusi tiiiii....mwambie akashiriki mashindano ya urembo