Niiwakilishe Tanzania Kwenye Big Brother Mwaka Huu (2014)

Niiwakilishe Tanzania Kwenye Big Brother Mwaka Huu (2014)

Status
Not open for further replies.
Low thinking ability. Sehemu yenu sahihi ni Facebook. Pelekeni pumba zenu huko.

we unajifanya unaakili kumbe hata kashahada kamoja huna upo too low kwan huyu jamaa ndio wa kwanza kushiliki abb mwachen kwan lazima
 
Hayo maquote yake hata sijayaelewa
yupo yupo kama changudoa aliekimbiwa bila kulipwa

Akajichambe ndio arudi hapa sio kuongea kama anatapika utafikiri jamii ya baba yake akwendreeeeee
 
Mhhhhhhhh wa'tized muna manenoooooo...
Darling,USHAURI NIUSEME HAPAHAPA,GO FOR IT....there is nothing to lose...we mtoto wa kiume and still young kiaina,me naona for women ndo inakuwaga ishu...
Imagine ukishinda..hhehhehe yale mamilioniiii,tuta-spend ajeee....
Ukiwa winner TS THE BEST THING,and i really wish uchaguliwe uende..
Usipokuwa winner pia hakuna ulichopoteza cz u have met peopl,umepata exposure ya maana,deals za hapa na pale,modelling ,biashara nk zitakuwepo kwa wingiii
Wengi humu naona wamekariri maisha tht u go to school-get a job-get married-babies-and the boring life continues
IT DOESN'T HAVE TO BE LIKE THAT,LIFE HAINA FORMULA....just do what u wanna do and what makes u happy......
Em piga picha ukishashinda madolari yaleee....ehhheheiya na mie ntapata kick niwe famous,hehhehehhe RED CARPETS bongo ntatimbajee...full mapesaa and the goodlife,full kwenye blogs za watu...
Enewei inshort....GO STUNNA,U NEVER KNOW WHT BBA GOT IN STORE FOR YA....
 
Jakaya juzi kwny CNN kasema nchi yetu bado haiko tayari kuhalalisha mambo ya kishoga....anyway ungepiga picha moja ukiionyesha makalio yako ili wazee wa mizigo wajue kama yaliyomo yamo au vp,ingekuwa mzuka zaidi.
 
Hayo mambo za machine za TRA yanaingiaje jukwaa ili?
Hizo mambo peleka jukwaa husika si apa

na wewe umeingiaje jukwaa ili,kwani wewe ni celebrity??nawe peleka mambo zako jukwaa la matangazo au la biashara ...
 
tanzania tutachelewa xana kufika tunakotaka kufika
 
acha tu yanii,ila bebe akichaguliwa kwenda natupia picha humu mnijuwee nafananaje,...

Wacha mruhusu aende mwaego maneno ya humu yasiwatishe tena akienda we ndio mpiga debe kuhamasisha watu wapige kura
 
You r body is killing. U r good. Just gooooooooo.kama nawe Ni umetaka from your heart.
Cjawapga kura it wil be da first time for me to do so

Daaah asee uko poa vibaya nimekukubali 100 100 u rock nenda bhana binafsi ntakupigia kura
 
Low thinking ability. Sehemu yenu sahihi ni Facebook. Pelekeni pumba zenu huko.

mkuu mbona unawaza distance ndogo hivi?

people agree to agree or agree to disagree!

umequote mawazo ya watu zaidi ya saba, halafu unatoa conclusion moja katika mawazo tofauti tofauti?

where is your thinking capacity thrown to?

is the skull of yours emptied? has no element of brain that can help you to think?
 
shoga,behind a successful man there is a woman,akishinda mtanikumbuka ujuee..lols

Shoga akeee mi namtakia shemeji kila laheri
mi mwenzio moyo wangu mdogo sana, nkiwaza mambo ya jumba hilo afu mwenzangu anambie anaenda
uuh ntazimia, usinisahau kwenye ufalme wako
 
Hizi picha bro na wasiwasi nazo utakuwa ulizitoa huko Instagram imradi tu upatie japo mademu wa phone sex toka JF si unajua tena hawa madada zetu wanavyo husudu hizi Rangi za Mitume huwa wanachanganyikiwa sana nazo hata wasipo muona mtu live.....
 
Mhhhhhhhh wa'tized muna manenoooooo...
Darling,USHAURI NIUSEME HAPAHAPA,GO FOR IT....there is nothing to lose...we mtoto wa kiume and still young kiaina,me naona for women ndo inakuwaga ishu...
Imagine ukishinda..hhehhehe yale mamilioniiii,tuta-spend ajeee....
Ukiwa winner TS THE BEST THING,and i really wish uchaguliwe uende..
Usipokuwa winner pia hakuna ulichopoteza cz u have met peopl,umepata exposure ya maana,deals za hapa na pale,modelling ,biashara nk zitakuwepo kwa wingiii
Wengi humu naona wamekariri maisha tht u go to school-get a job-get married-babies-and the boring life continues
IT DOESN'T HAVE TO BE LIKE THAT,LIFE HAINA FORMULA....just do what u wanna do and what makes u happy......
Em piga picha ukishashinda madolari yaleee....ehhheheiya na mie ntapata kick niwe famous,hehhehehhe RED CARPETS bongo ntatimbajee...full mapesaa and the goodlife,full kwenye blogs za watu...
Enewei inshort....GO STUNNA,U NEVER KNOW WHT BBA GOT IN STORE FOR YA....

mwambie aende akajiwakilishe mwenyewe lakin sio kuwakilisha tanzania, huyo hayuko tanzania, sasa atakilishaje nchi? nyie ndio mnachafua jina la tanzania kwa upuuzi wenye...tunataka mbongo halisi mweusi tiiiii....mwambie akashiriki mashindano ya urembo
 
Nitajie jina moja la mbongo wa kiume aliyeenda big brother ambaye ni mweusi tiiiii kama ulivyosema. Kuna dolla 500 ukimtaja
 
mwambie aende akajiwakilishe mwenyewe lakin sio kuwakilisha tanzania, huyo hayuko tanzania, sasa atakilishaje nchi? nyie ndio mnachafua jina la tanzania kwa upuuzi wenye...tunataka mbongo halisi mweusi tiiiii....mwambie akashiriki mashindano ya urembo

acha kukremu..apart from nancy sumari na magese,wadada
wapiii wengine ambao waliosha huko Miss world??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom