Niiwakilishe Tanzania Kwenye Big Brother Mwaka Huu (2014)

Niiwakilishe Tanzania Kwenye Big Brother Mwaka Huu (2014)

Status
Not open for further replies.
Wanaume hua hawatukani hivi unajishushia hadhi ya kiume uliyonayo,haya mambo tuachie sie,,kwani tatizo liko wapi hapo ye kumpendelea mpenzi wake?

jiulize au ufuatilie mimi nilimjibu yeye au kimbelembele?utavyokuja ndivyo nnavyomaliza,siwezi kumjibu kigumu namjibu anavyotaka yeye
 
Halafu mleta mada rekebisha heading isomeke nataka kuwa mshiriki kutoka Tanzania na siyo muwakilishi.

Watanzania hatuwezi kuwakilishwa kwenye upumbavu huo so called BBA.

Msiwakilishwe mara ngapi sasa mbona kila mwaka tunawakilishwa tena na watu wawili na mwaka jana Feza na Nando walienda.
 
Hahahaha umenifurahisha wap nimerembua macho? Pozi za kulegeza shingo ina ubaya gani?

Hivo unavyoona kwenye picha ni kawaida ndivyo nilivyo.

Naheshimu mawazo yako na wengine nilishasema niko tayari kwa lolote

Ni kawaida mwanaume kurembua na kulegeza macho? Una tatizo wewe
 
View attachment 139021
Nimepokea maombi mengi niwawakilishe big brother mwaka huu kutoka kwa wadau muhimu,wanaona na vigezo vyote

Mimi uwa ni muongeaji sana na mcheshi pia niko cool.

Sijui mnasemaje wadau, niko tayari kwa komenti zozote.

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Hii thread yako ni tangazo la Biashara. Hili sio jukwaa lake. Ipeleke kwenye jukwaa stahiki
 
Msiwakilishwe mara ngapi sasa mbona kila mwaka tunawakilishwa tena na watu wawili na mwaka jana Geza na Nando walienda.

Hebu acha ututusa wewe, hao wote walikuwa ni washiriki kutoka Tanzania na siyo Wawakilishi, labda kama walikuwa wanakuwakilisha wewe na familia yako.

Wawakilishi wa nchi huwa wanaagwa na wizara na kukabidhiwa bendera ya Taifa.
 
Labda uliadithiwa hukuangalia waliagwa na huwa wanaagwa na waziri husika na kupewa bendera za Tanzania.
 
Unajua nimekaa kimya muda mrefu lakin naona kuna kitu unatafuta. Ila sina muda wa kubishana na mtu kama wewe.

Kwa akili zako zilivyo ni kweli huwezi na hautawah kupata huo muda wa kubishana nami.peleka hyo thread yako jukwaa la biashara au kama vp waombe Modes watengeneze jukwaa la akinadada ili uwe unaweka thread zako za kuonesha maungo yako humo kwenye jukwaa la wadada wakusifie weeee ufurahi.
 
Kwa taharifa yako ata unizungumzie vibaya sikasiriki. Siwez nikamkasirikia mtu ambaye simjui pengine wewe ni ajuza ( bibi kizee) hivo itakuwa si busara.
 
HUJIELEWI,una mandate ipi labda,na kama nani, kuamuru mtu atoe thread hapa apeleke huko unakotaja??
Wivu tu unakusumbua
 
Kwa taharifa yako ata unizungumzie vibaya sikasiriki. Siwez nikamkasirikia mtu ambaye simjui pengine wewe ni ajuza ( bibi kizee) hivo itakuwa si busara.

Hahahahahahahahahaha ipeleke hii thread yako jukwaa la biashara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom