Nijibuni mnaowatumia wanawake wengine halafu mnatafuta wanawake bikra wa kuoa mtawatoa wapi?

Nijibuni mnaowatumia wanawake wengine halafu mnatafuta wanawake bikra wa kuoa mtawatoa wapi?

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Baadhi ya wanaume ni wajinga sana

Wanaume hao hudhani kuwa wanahitaji wanawake tu kwa ajili ya ngono ila hawataki kuoa mwanamke asiye bikira.

Kwa kawaida hupewa ngono kwa ukarimu kutoka kwa wanawake wasio na waume lakini pia wapo wale walioolewa kama kina mama Kijacho.

Kando na hao, kuna wasichana wengi wasio na idadi ambao wanaume hao wajinga kuwapigia simu kwa lengo la kuwakodisha na kujirusha nao kwa muda mfupi kisha huwatelekeza na kurudi kutafuta msichana bikira wa kuoa.

Huo ndio ujinga wao maana hawataki kuoa mwanamke asiye bikira ila wapo na speed kutoboa bikira za wake watarajiwa wa wanaume wengine wengine
emoji57.png


Niwaulize enyi wajinga mtapata wapi mwanamke bikira wa kuoa?

Mwenye jibu sahihi offer leo, hii ni offer ya leo tu.
 
Wanatumika na kuachwa kwa sababu sio mabikra, ila akipatikana bikra baharia tunaweka kambi, shida na bikra nao wanakuwaga na nyege mshindo ukishamtoa anakuwa anawashwa muda wote kama hawezi kujicontrol atagawa sana, hiyo pia ni sababu nyingine ya kuachwa.
 
Back
Top Bottom