Nijibuni mnaowatumia wanawake wengine halafu mnatafuta wanawake bikra wa kuoa mtawatoa wapi?

Nijibuni mnaowatumia wanawake wengine halafu mnatafuta wanawake bikra wa kuoa mtawatoa wapi?

Wanasema mwanamke akifanya ngono hovyo anakua malaya, mwanaume akifanya ngono hovyo anakua mtengeneza malaya....[emoji23]

Enewei, kwa dunia ya leo sijui utapataje uhakika kwamba mwanamke ni bikra kabla ya kumuoa...

Mimi naamini kwenye 'shake well before use'[emoji23]
 
"Kando na hao, kuna wasichana wengi wasio na idadi ambao wanaume hao wajinga kuwapigia simu kwa lengo la kuwakodisha na kujirusha nao kwa muda mfupi kisha huwatelekeza na kurudi kutafuta msichana bikira wa kuoa".


Mwanamke wa kupigiwa sim tukajirushe, nae akaja unataka nan amuoe?

Mwanaume humuheshimu na kutaman kuwa na mwanamke mgumu kupatikana. Hao ndio huolewa. Mwanaume anaweza kumtaka mwanamke kwa one night ila ugumu wake kupatikana unaweza kumbadili mawazo Mwanaume na kuanza kufikiri kuweka kambi ya milele.

Kila siku nawaambia kuwa, mwanaume huaa hakatai mbususu. Ukimkuta mwenye kutakaa, huyo atakua na kasoro.

Mwanaume anaweza kutongoza mwanamke kwa lengo la kuweka ndani kulingana na muonekano wa huyo ke. Ila response yake na ile conversation kwa ujumla inaweza kumpa majibu me kuwa hapa ndio au sio.

Me hata akijua kuwa hapa sio, huwa hatukuachi hivihivi. Tutaweka mazingira ya kula mbususu ndio tukuache. Hapo ndio utakuta me anaanza hata kutumia pesa ili tu akukule. Sasa kwa uzuzu wa baadhi ya ke akiona me ameanza kumpa pesa ndio anajua hapa napendwa. Anampa mzigo.

Hili game linahitaji umakini kidogo
 
Back
Top Bottom