Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kumbe hujasoma wote?Wajinga aje? ๐ kwani uzi unasemaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hujasoma wote?Wajinga aje? ๐ kwani uzi unasemaje
Usisahau pia walaji nao ni wajingaIweje tuoe wake za watu ?
Mmeo ni yule aliyebomoa Geti.
Wajinga ni wale wanaoliwa.
me nko pouwa, nambieNiko gud tu vp ww
We Jinsia gani ?Usisahau pia walaji nao ni wajinga
Unatafuta nini?We Jinsia gani ?
Nilikuwa sijasoma.Kumbe hujasoma wote?
Mama utaamsha popo ๐Nilikuwa sijasoma.
Niko hapa bado nasoma comments za wajinga
Wajinga watakuja kunipopoa? Si navua viatu nakimbia ๐๐๐โโ๏ธMama utaamsha popo ๐
Watakukamata tu hata kama utapaa kama tai ๐Wajinga watakuja kunipopoa? Si navua viatu nakimbia ๐๐๐โโ๏ธ
๐๐ hawaweziWatakukamata tu hata kama utapaa kama tai ๐
Kuna wengine hupenya hata pasipo na upenyo wataingia hadi ndani kwako, watakupata tu ๐๐๐ hawawezi
Nitafunga mlango nikishakimbilia ndani
๐๐ hapo sasa anatafuta nimuendee kwa mjomba Mshana JRKuna wengine hupenya hata pasipo na upenyo wataingia hadi ndani kwako, watakupata tu ๐
Itakuwaje kama naye atakuwa na nguvu hiyo hiyo kama ya anko wako ๐๐๐ hapo sasa anatafuta nimuendee kwa mjomba Mshana JR
Nitamuachia Sir God ๐๐Itakuwaje kama naye atakuwa na nguvu hiyo hiyo kama ya anko wako ๐
Mie nakushauri tu usiamshe popo hiyo ndio pona yako.Nitamuachia Sir God ๐๐
Yeye ndio kawaumba