Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kumbe hujasoma wote?Wajinga aje? π kwani uzi unasemaje
Usisahau pia walaji nao ni wajingaIweje tuoe wake za watu ?
Mmeo ni yule aliyebomoa Geti.
Wajinga ni wale wanaoliwa.
me nko pouwa, nambieNiko gud tu vp ww
We Jinsia gani ?Usisahau pia walaji nao ni wajinga
Unatafuta nini?We Jinsia gani ?
Nilikuwa sijasoma.Kumbe hujasoma wote?
Mama utaamsha popo πNilikuwa sijasoma.
Niko hapa bado nasoma comments za wajinga
Wajinga watakuja kunipopoa? Si navua viatu nakimbia πππββοΈMama utaamsha popo π
Watakukamata tu hata kama utapaa kama tai πWajinga watakuja kunipopoa? Si navua viatu nakimbia πππββοΈ
ππ hawaweziWatakukamata tu hata kama utapaa kama tai π
Kuna wengine hupenya hata pasipo na upenyo wataingia hadi ndani kwako, watakupata tu πππ hawawezi
Nitafunga mlango nikishakimbilia ndani
ππ hapo sasa anatafuta nimuendee kwa mjomba Mshana JRKuna wengine hupenya hata pasipo na upenyo wataingia hadi ndani kwako, watakupata tu π
Itakuwaje kama naye atakuwa na nguvu hiyo hiyo kama ya anko wako πππ hapo sasa anatafuta nimuendee kwa mjomba Mshana JR
Nitamuachia Sir God ππItakuwaje kama naye atakuwa na nguvu hiyo hiyo kama ya anko wako π
Mie nakushauri tu usiamshe popo hiyo ndio pona yako.Nitamuachia Sir God ππ
Yeye ndio kawaumba