Odax Thomas
Member
- Oct 19, 2024
- 11
- 24
Habari Wana Jukwaa
Samahani Naomba Mawazo Yenu Mimi Ni Kijana Wa Miaka 30 Sasa Kiwango Changu Cha Elimu Ni Darasa La Tano Na Nina Cheti Cha Udereva Wa Awali
Nimejitahidi Kutafuta Kazi Ya Taaluma Yangu Ya Udereva Kwa Ngazi Ya Daraja Langu Kwenye Taasisi Na Miradi Ila Nakosa Nafasi Kwakukosa Vigezo Vya Cheti Cha Kidato Cha Nne Ingawa Kuna Fursa Upande Wa Usafirishaji Kwa Maroli Kwenda Mikoani Na Nchi Jirani
Sasa Akili Inazunguka Nifanye Chaguo Gani Nijiendeleze Kwenye Udereva Wa Maroli HGV Au Nifanye Biashara Ndogo Ndogo Ya Phone Accessories+ Uwakala?