Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Umeoa na je unawatoto tuanzie hapa kwanza Ili nikushauri
Ushauri bora sana huu kuendesha mitambo ni bora kuliko hayo magari makubwa.Hongera sana mkuu kama umeishia darasa la tano na unaandika kama mtu mwenye phd ni hatua nzuri sana.
Ungetoa location upo wapi.
Kama upo dar jitahidi usome forklift nitakupa nambs ya mtu atakusaidi bandarini kuingia.
Chuo cha bandari,uwe na cheti cha udereva wa awali na leseni ada ni kama shilingi laki 5 na 50 hivi.