Odax Thomas
Member
- Oct 19, 2024
- 11
- 24
Hela Unaweza Ukaiona Kwa Macho Ya Nyama Coz Kunakuwa Na Mshahara Na Pesa Ya Safari Ila Kimbembe Ni Hao Raia Wa Huko BarabaraniKwenye malori si kuna hela za kutosha au
Sijakuelewa hap mkuu..Ila Kimbembe Ni Hao Raia Wa Huko Barabarani
Pesa Ya Dareva Kila Msimamizi Wa Sheria Barabarani Anataka Kuila Yani Ukipigwa Tu Mkono Uwe Na Kosa Usiwe Na Kosa Utachangia Ya Kiwi Iwe Ndani Ya Nchi Au Nje Ya NchiSijakuelewa hap mkuu..
Shukran Kaka Mimi Niko TangaHongera sana mkuu kama umeishia darasa la tano na unaandika kama mtu mwenye phd ni hatua nzuri sana.
Ungetoa location upo wapi.
Kama upo dar jitahidi usome forklift nitakupa nambs ya mtu atakusaidi bandarini kuingia.
Chuo cha bandari,uwe na cheti cha udereva wa awali na leseni ada ni kama shilingi laki 5 na 50 hivi.
Shukran MkuuNenda kwenye udereva wa malori ili uongeze mtaji zaidi kisha fungua hiyo biashara ya Phone accessories+uwakala kisha uweke mtu muaminifu kama msimamizi,yani upige kazi zote kwa pamoja,
Biashara ikizingua endelea na udereva,udereva ukizingua simamia biashara yako wewe mwenyewe,
All the Best mpambanaji.
Anyway kama upo tanga nenda chuo cha bandari tanga kasome hicho kitu,Shukran Kaka Mimi Niko Tanga
Nimekuelewa Kiongozi Nafanyia KaziAnyway kama upo tanga nenda chuo cha bandari tanga kasome hicho kitu,
DP world Kachukua pia na bandari ya Tanga kunaanza kunukia hela uko,hautajutia hilo amini kwamba
Inategemea na kampuni sio hizi za wahindiKwenye malori si kuna hela za kutosha au
Labda yeye anafanyia kazi kampuni ganiInategemea na kampuni sio hizi za wahindi
Shukran KakaHongera Mkuu kwa hatua uliyofikia.
Kwa umri ulionao, jikite zaidi kwenye kujitafutia mkate wa Kila siku
Fanya kazi yako ya udereva wa malori wakati huo huo unafanya biashara ya phone and accessories kama unavyotamani
Hiyo biashara hata mkeo anaweza kukusaidia kusimamia, after all hizo ni items, hata ikiuzwa moja au mbili utajua
Hivyo sio rahisi kuibiwa
Kila la heri π π π
Shukran Ka MkubwaSijawahi kuwa dereva
Fanya biashara Ina tabia ya kukua jinsi unavyozidi kukua kiumri japo changamoto zipo ila ni za kupambana nazo utajikuta hadi unafika umri fulani ushakuwa na uzoefu na utakuwa unahesabu vitengo kadhaa vya biashara tofauti tofauti
Pesa haramu mara nyingi matumizi yake huwa sio ya maanaLabda yeye anafanyia kazi kampuni gani
Je ana mke.kama yupo atasimamia.
Kingine kwenye malori kuna pesa nying akijiongeza kama kuuza mafuta njiani.kuenda kununua risiti badala ya mafuta.
Kupakia mzigo njia ambayo haipo kwenye hesabu ya bosi
Sema madereva wa malori wanakuwaga VITOMBI sana kwahyo kumeki pesa inakuwa shida kdg..