Nijifunze nini kwenye AI ambacho kitanisaidia kuongeza kipato au kukuza career yangu?

Nijifunze nini kwenye AI ambacho kitanisaidia kuongeza kipato au kukuza career yangu?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,332
Reaction score
4,822
Kama kichwa kinavyojieleza.

AI imeshakuwa sehemu ya maisha yetu ni either unaijua au ikupite kushoto.

Nataka niwe sehemu ya dunia ya AI japo mimi sio mtaalam wa technology.

Mimi nafanya shughuli za kuajiriwa na freelancing muda mwingine.

Je nikitaka niwe sehemu ya AI nijifunze kitu gani ambacho akihitaji niwe deep kwenye technology?

Wazee wa akili unde tupeane mawazo.
 
Nakutajia vitu ambayo AI inanisaidia,
1. Naweza kuandaa ripoti kuhusu strategies za kuongeza mauzo sehemu ninapofanya kazi.
2. Inanisaidia kufanya Research kujua njia za kufanya ili niongeze mauzo
3. Inanisaidia kuandaa content za Masoko Online
4.Inanisaidia kurahisisha kaziambazo nilitakiwa nimlipe mtaalamu flani.
N:B Najua namna ya kuitumia AI kama dhana (tool) but creativity ni jukumu nalotakiwa kuwa nalo.
Lazima nijue jambo husika kiundani,kwakua AI huwa inafanya makosa,so usipojua namna ya kui-challange nawe utaingia kwenye makosa iliyofanya.
 
Jifunze prompt engineering ndio hela ya AI ipo hapo.uhitaji kuwa na chochote zaidi ya kujua writing skills.
 
Kama kichwa kinavyojieleza.

AI imeshakuwa sehemu ya maisha yetu ni either unaijua au ikupite kushoto.

Nataka niwe sehemu ya dunia ya AI japo mimi sio mtaalam wa technology.

Mimi nafanya shughuli za kuajiriwa na freelancing muda mwingine.

Je nikitaka niwe sehemu ya AI nijifunze kitu gani ambacho akihitaji niwe deep kwenye technology?

Wazee wa akili unde tupeane mawazo.
Hujui unachokitafuta

Ndo maana ukiambiwa ukweli una kasirika

Hilo swali peleka kwenye chatgpt itakusaidia
 
Hujui unachokitafuta

Ndo maana ukiambiwa ukweli una kasirika

Hilo swali peleka kwenye chatgpt itakusaidia
Waliojibu ndio awaelewi AI inafanya vipi kazi wanawaza kutumia AI kama laypeople ni mtu mmoja tu at least anaelewa AI kati ya walonijibu. Watu wanaingia darasani kujifunza kutumia AI dogo usikutlrupuke
 
Uzi mzuri sana kwa tuliosoma IT/COMPUTER SCIENCE
 
Waliojibu ndio awaelewi AI inafanya vipi kazi wanawaza kutumia AI kama laypeople ni mtu mmoja tu at least anaelewa AI kati ya walonijibu. Watu wanaingia darasani kujifunza kutumia AI dogo usikutlrupuke
Moja ya maswali ya kijinga Kwenye hili jukwaa ni hili la kwako

Kama unamiliki smartphone na hujui kutumia simple Ai like Chatgpt ni upumbavu sasa huo

Maswali kama haya uliza hata MetaAi itakusaidia
 
Moja ya maswali ya kijinga Kwenye hili jukwaa ni hili la kwako

Kama unamiliki smartphone na hujui kutumia simple Ai like Chatgpt ni upumbavu sasa huo

Maswali kama haya uliza hata MetaAi itakusaidia
Hi Anko G

Nadhani ugonjwa wako wa kusaka attention kila thread nitauponya kwa kukupiga paipu ambayo ujawai kupigwa naona wanaokuchimbua wanakugusagusa tu.
 
Back
Top Bottom