Nijitibu vipi addiction ya soda?

Unaacha soda unakunywa chai na kahawa.! Are you serious.?
Vina madhara gani? Mbona hivi vinywaji ni watu wengi sana wanakunywa. Nenda nchi kama Finland uone kahawa inavyonyweka. Tena ile kahawa yenyewe na siyo instant coffee. Kila baada ya mlo watu wanakunywa kahawa. Kwa kifupi kwa siku watu wanakunywa kahawa atleast mara nne au tano.
 
Haya makitu hayana formula inayoeleweka. Nakubali ni kweli kuna kula vyakula vyenye afya na kufuata uashauri lakini ukianza kuhesabu kila kitu utakuta wanasema kina madhara.
 
Yeah jaribu juice ya miwa na maji ya madafu huwa wanasema vinasafisha kibofu
 

Tupe shule Wewe mkuu,jamaa ameeleza anachokifahamu….

Nafkir yuko sahihi kwa upande mwngne,mwisho wa siku n kuwa ile sukar inabadlishwa kuwa mafuta na kujishkiza sehemu mbali mbali za mwili kama kifua,makalio,mapaja ama kwnye mishipa ya damu
 
Unamuambia soda ina caffeine ila unamshauri atumie chai na kahawa
 
Anza kujua ni mazingira gani au nini kinakuchochea wewe kupata hamu ya soda..(cause). Ukishakunywa ile soda kuna hali fulani unajihisi ya kufurahia...(reward). fanya replacement kila unapohisi hamu ya soda...either kula salad ya matunda au maji
 

Figo zako jiandae, pia matatizo ya kisukari au uzito kuongezeka kupita kiasi ni hatari sana, soda ni sugars tupu, prepare for the worst within few years ahead
 
Ningekua karibu ningekutibu.

Ningekusubiri ufungue mirinda nyeusi, nakuagiza kitu dukani ukirudi utakuta nimekuwea konokono ndani, ukiinywa na ukagundua mle ndani kuna konokono hutarudia kunywa soda tena😂😂
 
Ningekua karibu ningekutibu.

Ningekusubiri ufungue mirinda nyeusi, nakuagiza kitu dukani ukirudi utakuta nimekuwea konokono ndani, ukiinywa na ukagundua mle ndani kuna konokono hutarudia kunywa soda tena[emoji23][emoji23]

Hatari[emoji23][emoji23] niko soba house hataivyo, mambo yanaenda vizuri.
 
Tafuta mbadala wa soda..kama juice ya matunda. maji ya baridi na na chai
 
Me niko addicted na energy drinks
Tena nikiwa nachek mechi ya arsenal au yanga sebuleni lazima azam energy uhusike
Sijui najitoaje kwenye uraibu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili naona nimefaulu , mwezi unaeza isha sijanywa soda kabisa. Nikinywa labda moja nikizidisha mbili. Japo inataka moyo kuna saa jua ni kali nikiona ile peps ya bariidi natamani.
 
Me niko addicted na energy drinks
Tena nikiwa nachek mechi ya arsenal au yanga sebuleni lazima azam energy uhusike
Sijui najitoaje kwenye uraibu huu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kubali kua sio salama mkuu, saivi nimejiwekea challenge yakutotumia kiywaji chochote cha kiwandani pia sukari na chumvi ya mezani yan nikifikisha mwezi nasherekea kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…