Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #61
Asante kwa darasa zuri.Constantine Kimanda na Ngadou Ramadhani hawa walikuwa ni wachezaji wa timu ya taifa ya Burundi baada ya kutoka nchini kwao na kwenda kwenye mashindano kukatokea vurugu wakashindwa kurudi kwao walipotua nchini RIP ABAS GULAMALI akawasaji.
Ilikuwa pacha hatari ya Rip Method Mogella na Constantine Kimanda hawa kwa pamoja waliuzwa Arabuni lkn Rip Method akarudi nchini.
Constantine Kimanda alipendwa mno Arabuni kiasi waligomea offer ya kumuuza Belgium akaamua kutoroka na Timu ya Arabuni ikashtaki FiFa Constantine Kimanda akafungiwa na Fifa miaka 5.
Yupo Belgium anafanya shughuli zake hili ni kwa hisani ya Bita John alinisimulia siku moja kwa kuwa walicheza naye Arabuni.