Nijuzeni: Costantine Kimanda alikuwa ni mchezaji wa aina gani?

Asante kwa darasa zuri.
 
Ilichabangwa 4 kwa 1 na Simba, mwaka 1994, Mzee wa Kiminyio Madaraka Selemani alimtesa Kimanda kweli kweli, baada ya hapo Kimanda alikimbilia uarabuni, ni enzi za Yanga kandambili RIP Mpondela
Kwa kumbukumbu zangu hiyo mechi ilichezwa kati ya mwaka 2000 au 2001 kama sikosei.
 
George Magere Masatu alikuwa ni mzuri zaidi ya Kimanda
 
Hiyo mechi mimi niliiona kwa macho,makocha wetu walikuwa ni tambwe leya na nzoyisaba tauzany

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…