FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Asante kwa uchambuzi,lakini huoni rais kutokuwemo ktk noti ni kama tumemdhurumu haki yake,watu wangependa kuongozwa na rais wanaemuona kila Mara baada ya kuitumikia fedha inaleta nguvu Fulani kupokea ujira wako ukiiangalia noti unamuona na RaisIlikuwa NI busara tu tuishie kwa Mwinyi kwani tuendako tutakuwa na Marais wengi so tunaepusha watu kuchanganyikiwa.
Halafu boss kiuchumi noti yenye masifuri mengi ni indicator kwamba uchumi wako sio mzuri. Kinyume chake noti yako kubwa ikiwa na sifuri chache means fedha yako Ina thamani. Mfano US dollar kubwa Ina sifuri 2 yaani USD100.
Kuchapisha pesa ni gharamaKuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa wakati huo.
Hata kama ilikuwa azimio la nchi nyingi kutokuwekwa picha ila tunaweza kuamua sisi kama sisi.tuwaone akina Jk,mh.Benjamin William Mkapa na mh.Rais Dr.Magufuli.natumai waheshimiwa wabunge wapya wajao wataanza na hili,pia tunaomba ianzishwe noti ya elfu hamsini kwani tumeingia ktk uchumi wa kati.hongera awamu zote kwa kutufikisha ktk uchumi wa kati.
Lakini wao walikuwa na viongozi wengi huoni kwetu bado tunao wachache,hata wao mpaka Leo sarafu za wafalme wakati viongozi hawajawa wengi,buku moja mwalimu nyerere,Buku mbili Ali Hasssan Mwinyi,Buku tano Benjamin William Mkapa,Buku kumi Dr.Kakaya Mrisho Kikwete,Elfu Hamsini na Tsh.Mia tano ya noti Rais.Dr.John Pombe Joseph Magufuli,Tsh.200 Mh.Amani Karume.Tsh.500 Dr.She in,Tsh.Mia na Tsh.50 mh.Abeid KarumeKuchapisha pesa ni gharama
Heshima ya pesa itashuka
Jaribu kuangalia nchi za wenzetu walioendelea hawanaga mawazo wala fikra ya kubadilisha pesa
Sura za wengine hazistahili heshima hiyo acha tubaki na Mwalimu Nyerere/son of Africa
Hahah nitake radhiUmeshaanza kunywa chai bila sukari
USD note zina sura za marais wangapi?Asante kwa uchambuzi,lakini huoni rais kutokuwemo ktk noti ni kama tumemdhurumu haki yake,watu wangependa kuongozwa na rais wanaemuona kila Mara baada ya kuitumikia fedha inaleta nguvu Fulani kupokea ujira wako ukiiangalia noti unamuona na Rais
Wao wakati was Uhuru walikuwa na hela za marais wao wengi,walivyoongezeka ndio wakastop,sasa wapo 45 Sisi watanoUSD note zina sura za marais wangapi?