Nijuzeni, Kwanini zisiwepo noti na sarafu zenye picha ya Jakaya Kikwete, Benjamin Mkapa na rais Magufuli? Ianzishwe na noti ya elfu hamsini

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Kuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa wakati huo.

Hata kama ilikuwa azimio la nchi nyingi kutokuwekwa picha ila tunaweza kuamua sisi kama sisi.tuwaone akina Jk,mh.Benjamin William Mkapa na mh.Rais Dr.Magufuli.natumai waheshimiwa wabunge wapya wajao wataanza na hili,pia tunaomba ianzishwe noti ya elfu hamsini kwani tumeingia ktk uchumi wa kati.hongera awamu zote kwa kutufikisha ktk uchumi wa kati.
 
Ilikuwa NI busara tu tuishie kwa Mwinyi kwani tuendako tutakuwa na Marais wengi so tunaepusha watu kuchanganyikiwa.

Halafu boss kiuchumi noti yenye masifuri mengi ni indicator kwamba uchumi wako sio mzuri. Kinyume chake noti yako kubwa ikiwa na sifuri chache means fedha yako Ina thamani. Mfano US dollar kubwa Ina sifuri 2 yaani USD100.
 
Asante kwa uchambuzi,lakini huoni rais kutokuwemo ktk noti ni kama tumemdhurumu haki yake,watu wangependa kuongozwa na rais wanaemuona kila Mara baada ya kuitumikia fedha inaleta nguvu Fulani kupokea ujira wako ukiiangalia noti unamuona na Rais
 
Ngoja wachumi waje watueleweshe faida ya kuwa na noti mfano wa hiyo elf 50
 
Kuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa wakati huo.

Hata kama ilikuwa azimio la nchi nyingi kutokuwekwa picha ila tunaweza kuamua sisi kama sisi.tuwaone akina Jk,mh.Benjamin William Mkapa na mh.Rais Dr.Magufuli.natumai waheshimiwa wabunge wapya wajao wataanza na hili,pia tunaomba ianzishwe noti ya elfu hamsini kwani tumeingia ktk uchumi wa kati.hongera awamu zote kwa kutufikisha ktk uchumi wa kati.
Kuchapisha pesa ni gharama
Heshima ya pesa itashuka
Jaribu kuangalia nchi za wenzetu walioendelea hawanaga mawazo wala fikra ya kubadilisha pesa
Sura za wengine hazistahili heshima hiyo acha tubaki na Mwalimu Nyerere/son of Africa
 
Lakini wao walikuwa na viongozi wengi huoni kwetu bado tunao wachache,hata wao mpaka Leo sarafu za wafalme wakati viongozi hawajawa wengi,buku moja mwalimu nyerere,Buku mbili Ali Hasssan Mwinyi,Buku tano Benjamin William Mkapa,Buku kumi Dr.Kakaya Mrisho Kikwete,Elfu Hamsini na Tsh.Mia tano ya noti Rais.Dr.John Pombe Joseph Magufuli,Tsh.200 Mh.Amani Karume.Tsh.500 Dr.She in,Tsh.Mia na Tsh.50 mh.Abeid Karume
 
Asante kwa uchambuzi,lakini huoni rais kutokuwemo ktk noti ni kama tumemdhurumu haki yake,watu wangependa kuongozwa na rais wanaemuona kila Mara baada ya kuitumikia fedha inaleta nguvu Fulani kupokea ujira wako ukiiangalia noti unamuona na Rais
USD note zina sura za marais wangapi?
 
zaire ilichapishwa mpaka noti ya milioni 1, kilichotokea baadae ni inflation kubwa sana na pesa ikawa haina thamani tena, wauza madukani wakawa wanazikataa hizo note
 
Kwa kutaka noti ya elfu hamsini unamaanisha kwamba uchumi wetu uanguke, jambo ambalo si jema, mengine ngoja wajuzi waje
 
Kwanini umewaza elfu 50 na si 20 angalau!

Ufafanuzi mzuri umetolewa hapo juu kuhusu tofauti ya wingi wa sifuri na thamani ya pesa.
 
Sijui huwa mnakunywa nini?...eti Raisi ni muwakilishi wa Muumba, kwa hiyo kina Idd Amini, Hitler, Bokasa, Mobutu na wengine walimuwakilisha Muumba?
 
Haya mambo ni maamuzi yenu wenyewe na wala sio lazima muweke icha za Wanasiasa, hata mkiamua kuweka Kuku, Nzige n.k....ali mradi muitambue kama pesa yenu.
 
Back
Top Bottom