FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
- Thread starter
- #41
Maana wana cent dollar moja,sasa mbona na wao wameruka mpaka mia kwanini wasibaki hukoKwani $100 niTsh 50,000 au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana wana cent dollar moja,sasa mbona na wao wameruka mpaka mia kwanini wasibaki hukoKwani $100 niTsh 50,000 au?
Hakuna tija kuweka picha ya Raisi kwenye pesa,hata obama,Trump,bush hawakuweka picha kwenye pesa,Haina faida kabisa,na ni Mkapa aliyesitisha huo utaratibuKuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa wakati huo.
Hata kama ilikuwa azimio la nchi nyingi kutokuwekwa picha ila tunaweza kuamua sisi kama sisi.tuwaone akina Jk,mh.Benjamin William Mkapa na mh.Rais Dr.Magufuli.natumai waheshimiwa wabunge wapya wajao wataanza na hili,pia tunaomba ianzishwe noti ya elfu hamsini kwani tumeingia ktk uchumi wa kati.hongera awamu zote kwa kutufikisha ktk uchumi wa kati.