FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
- Thread starter
-
- #21
Hats hao Muumba aliwaweka madarakani ili atukuke,huwezi jua huenda vizazi vya nchi hizo vilikuwa na mako's Fulani ndiyo wakaletwa wa kuwaadhibu.pia Rejea maandiko Mungu aliandaa Wafalme ili kuondoa ufalme Fulani wote wake ila lengo atukukeSijui huwa mnakunywa nini?...eti Raisi ni muwakilishi wa Muumba, kwa hiyo kina Idd Amini, Hitler, Bokasa, Mobutu na wengine walimuwakilisha Muumba?
Kadiri uchumi unapokua noti kubwa kubwa zinapungua hela inakuwa sarafu manoti makubwa ni ishara ya uchumi mdogo na kuyumbaKuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa wakati huo.
Hata kama ilikuwa azimio la nchi nyingi kutokuwekwa picha ila tunaweza kuamua sisi kama sisi.tuwaone akina Jk,mh.Benjamin William Mkapa na mh.Rais Dr.Magufuli.natumai waheshimiwa wabunge wapya wajao wataanza na hili,pia tunaomba ianzishwe noti ya elfu hamsini kwani tumeingia ktk uchumi wa kati.hongera awamu zote kwa kutufikisha ktk uchumi wa kati.
Haya majamaa yamelewa sana awamu hiiSijui huwa mnakunywa nini?...eti Raisi ni muwakilishi wa Muumba, kwa hiyo kina Idd Amini, Hitler, Bokasa, Mobutu na wengine walimuwakilisha Muumba?
Kumbe shida yako sio Mkapa/Kikwete bali Magufuli aonekane kwenye notiAsante kwa uchambuzi,lakini huoni rais kutokuwemo ktk noti ni kama tumemdhurumu haki yake,watu wangependa kuongozwa na rais wanaemuona kila Mara baada ya kuitumikia fedha inaleta nguvu Fulani kupokea ujira wako ukiiangalia noti unamuona na Rais
ebu ngojaaa hii ya rais kumwakilisha muumba umeipata wapi?Kuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa wakati huo.
Hata kama ilikuwa azimio la nchi nyingi kutokuwekwa picha ila tunaweza kuamua sisi kama sisi.tuwaone akina Jk,mh.Benjamin William Mkapa na mh.Rais Dr.Magufuli.natumai waheshimiwa wabunge wapya wajao wataanza na hili,pia tunaomba ianzishwe noti ya elfu hamsini kwani tumeingia ktk uchumi wa kati.hongera awamu zote kwa kutufikisha ktk uchumi wa kati.
Watano mkuuUSD note zina sura za marais wangapi?
Yeah sahihi. Hili swali nililenga mtoa mada ajifunze kupitia jibu lake.Wanaokaa mbele ya note mara nyingi ni waasisi au waliofanyia nchi mambo makubwa kipindi nchi husika inajijenga.Yamkini Rais wa sasa au awamu yoyote ile huko miaka ya mbele akaonekana ametufanyia kitu kikubwa kipindi chake kiasi cha kukumbukwa sana. Tutamuweka naye.Ila huu utaratibu wa kubadilisha note kipindi Rais mwingine akiingia madarakani,mtoa mada,haupo!Watano mkuu
Dollar 1 George Washington
Dollar 2 Thomas Jefferson
Dollar 5 Abraham Lincoln
Dollar 20 Andrew jackson
Dollar 50 Ulysses Grant
Ila pia kuna dollar 10 Ambayo yupo Alexander Hamiliton First Secretary of treasury na Dollar 100 yupo Benjamin Franklin ambae alikuwa physician pia was amongst Founding Fathers miongoni mwa wale Saba akiwemo Hamiliton pia
Ktk bibliaebu ngojaaa hii ya rais kumwakilisha muumba umeipata wapi?
Vipi kama ujira wenyewe huna?Asante kwa uchambuzi,lakini huoni rais kutokuwemo ktk noti ni kama tumemdhurumu haki yake,watu wangependa kuongozwa na rais wanaemuona kila Mara baada ya kuitumikia fedha inaleta nguvu Fulani kupokea ujira wako ukiiangalia noti unamuona na Rais
Unaweza kushangaa unalala na noti ya 10000 unaamka na noti ya buku...
Meona eehYaani, msimbazi akienda dukani mara moja tu... usisahau kuwaambia wakuachie nauli ya asubuhi!
Meona eeh
Hata wewe ni mchumi nduguNgoja wachumi waje watueleweshe faida ya kuwa na noti mfano wa hiyo elf 50
Kwani dola mia ya us nayo waliiweka ya niniUna wazimu noti ya book 50 ya kazi gani
Kwani $100 niTsh 50,000 au?Kwani dola mia ya us nayo waliiweka ya nini