Kuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa wakati huo.
Hata kama ilikuwa azimio la nchi nyingi kutokuwekwa picha ila tunaweza kuamua sisi kama sisi.tuwaone akina Jk,mh.Benjamin William Mkapa na mh.Rais Dr.Magufuli.natumai waheshimiwa wabunge wapya wajao wataanza na hili,pia tunaomba ianzishwe noti ya elfu hamsini kwani tumeingia ktk uchumi wa kati.hongera awamu zote kwa kutufikisha ktk uchumi wa kati.