Nijuzeni, Kwanini zisiwepo noti na sarafu zenye picha ya Jakaya Kikwete, Benjamin Mkapa na rais Magufuli? Ianzishwe na noti ya elfu hamsini

Inaelekea ni kijana wa juzi lakini kwa kukusaidia aliyezuia utaratibu wa picha za kila rais kuwekwa kwenye noti ni Marehemu Mkapa kwani baada ya kuingia madarakani alikataa picha yake iwekwe kama alivyokuwa mtangulizi wake Mwinyi badala yake zikaendelea kubaki picha za Nyerere na Karume
 
Hakuna tija kuweka picha ya Raisi kwenye pesa,hata obama,Trump,bush hawakuweka picha kwenye pesa,Haina faida kabisa,na ni Mkapa aliyesitisha huo utaratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…