Nikajua anakunywa bia kumbe anajaza Maji kwenye chupa ya safari

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Ndomana mnafanyiwa ukatili, bora useme ukweli hutumii pombe mm nitakununulia hata wine ya Namibia nitalipa. Sio kunidanganya nakufanya uhuni wa kipumbavu unakunywa Maji non stop chupa tano Kwa dk kumi nikajua unapakamia kumbe umeweka dawasco

Acheni upuuzi nyie wanawake hususani barmaid maana mtakuja kufanywa 0713 afu mseme wanaume wote mbwa. Sasa wewe barmaid niliyekupa hii offer ya kunywa bia sitoi hata mia. Tahila we

Nipo shinyanga mjini PAPILON BAR uhuru street. Kalibuni
 
Anakunywa chupa tano non stop!
Jamani maji na bia ni tofauti uchaji wake tumboni ujue!

Kupiga lita 2.5 za maji mfululizo ni mtihani, labda hilo gume gume lilikuwa na kiu mbwa, lakini "ukifungulia koki" la bia, bia 5 kitu gani kwa mlevi bhana!

Enhe mkuu ukaja gunduaje kwamba kakugeuza bwege anakugidia bila huruma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji6]?
 
Yananunuliwa maji makubwa chupa mbili ya buku buku na yanawekwa counter chini kabisa, anaenda anampanga counter anakua anamuwekea maji kwenye makasha tupu, sasa anakuja nalo linamaji anakunywa mdogo mdogo linaisha, anaacha hapo anaendea lingine yaani bia 5 , unatoa 10000 halafu anatoa buku 2 ya maji na counter anakula buku mbili faida 6000 , hapo utajipendekeza msosi wa elfu saba, utachukua goma kulala nalo 20k , bado ukiwa hujielewi utasachiwa atakutoa hata 10k ukiwa umeenda kuoga au atalamba 5k ukijumlisha one night ataondoka na 45K , kazi inaishia hapo
 
Tumelipokea hili swala kwa masikitiko makubwa sana.
Tutalifanyia kazi ndani ya mkoa huo. Asante
 
Anakunywa chupa tano non stop!
Jamani maji na bia ni tofauti uchaji wake tumboni ujue!

Kupiga lita 2.5 za maji mfululizo ni mtihani, labda hilo gume gume lilikuwa na kiu mbwa, lakini "ukifungulia koki" la bia, bia 5 kitu gani kwa mlevi bhana!

Enhe mkuu ukaja gunduaje kwamba kakugeuza bwege anakugidia bila huruma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji6]?
Huu ni wizi wa akili sana
 
Mkuu, kama mtu Ana shida na pesa atakunywa hata Lita Mia Kwa lisaa ili tu apate pesa. Niligundua kutoka Kwa mhudumu mwenzake alinisanua sunajua wanawake hawapendani
 
Yananunuliwa maji makubwa chupa mbili ya buku buku na yanawekwa counter chini kabisa, anaenda anampanga counter anakua anamuwekea maji kwenye makasha tupu, sasa anakuja nalo linamaji anakunywa mdogo mdogo linaisha, anaacha hapo anaendea lingine yaani bia 5 , unatoa 10000 halafu anatoa buku 2 ya maji na counter anakula buku mbili faida 6000 , hapo utajipendekeza msosi wa elfu saba, utachukua goma kulala nalo 20k , bado ukiwa hujielewi utasachiwa atakutoa hata 10k ukiwa umeenda kuoga au atalamba 5k ukijumlisha one night ataondoka na 45K , kazi inaishia hapo
Ndomana 0714
 
Hadi Inaunguza koromelo.
JamiiForums1460173009.gif
 
Back
Top Bottom