Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
[emoji23][emoji23][emoji23]ila Bujibuji bhana[emoji119]Safari isiyo na mapovu, afadhali angeweka sabuni ya omo kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]ila Bujibuji bhana[emoji119]Safari isiyo na mapovu, afadhali angeweka sabuni ya omo kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23]Hadi Inaunguza koromelo. View attachment 2431071
Dah, dunia ina mengi sana kwa kweliUmenikumbusha kisa cha mererani.
Wachimba madini waliambiwa na mganga wapige mbupu punda!!
Wakamkata yule punda miguu ili asilete purukushani..kisha wakamuingilia jamaa km 7 hivi..
Hilo kaswende walipata iliwaua wote hadi madem zao
Hebu acha hii tabia. Kama umempa ofa anadaiwa Kodi ya Nyumba,chakula kimepanda,salary anapata kidogo haizidi laki kwa mwezi,analea mtoto na mwingine anasoma aliopewa na wanaume Kama wewe wakamkimbia,bado mama yake Kijijini hela ya Panadol atumiwe,Kuna mdogo wake atamlilia shida ya alfu tano atamtumia.Ndomana mnafanyiwa ukatili, bora useme ukweli hutumii pombe mm nitakununulia hata wine ya Namibia nitalipa. Sio kunidanganya nakufanya uhuni wa kipumbavu unakunywa Maji non stop chupa tano Kwa dk kumi nikajua unapakamia kumbe umeweka dawasco
Acheni upuuzi nyie wanawake hususani barmaid maana mtakuja kufanywa 0713 afu mseme wanaume wote mbwa. Sasa wewe barmaid niliyekupa hii offer ya kunywa bia sitoi hata mia. Tahila we
Nipo shinyanga mjini PAPILON BAR uhuru street. Kalibuni
We utakuwa Damian Ndimbo.Kirefu cha Safari Lager ni:-
S- sasa
A- angalia
F- fala
A- anaagiza
R- round
I- ingine
L- lakini
A- angalia
G- gharama
E- ewe
R- rafiki
Mkuu umenitoa machozi, ila huwa staki kukumbuka ya LINDIHebu acha hii tabia. Kama umempa ofa anadaiwa Kodi ya Nyumba,chakula kimepanda,salary anapata kidogo haizidi laki kwa mwezi,analea mtoto na mwingine anasoma aliopewa na wanaume Kama wewe wakamkimbia,bado mama yake Kijijini hela ya Panadol atumiwe,Kuna mdogo wake atamlilia shida ya alfu tano atamtumia.
Bro umesoma na maisha unayajua tokea enzi zile Lindi na mtt wa kimbulu wa ticha Ila bado hujayaelewa maisha ama saivi unakula kwa mrija umesahau huko ulikotoka.
Kumbuka hao dada zetu sio kuwa wanapenda kuifanya iyo kazi. Ni shida tu bana , wengine wamekimbia ndoa za manyanyaso,
Mie huwa nawapa tip na sidai kulipwa mbususu. Ile nakuwa na Ile human touch
Achana na hicho kiwanja broda,, Ungeenda la prince, ze atla au level one pub uendelee kumwagilia moyo. Halafu huyo barmaid achana naye sogea hapo mbele mita hazizidi hata 20 opoa toto kali mka mlaki shetani.Ndomana mnafanyiwa ukatili, bora useme ukweli hutumii pombe mm nitakununulia hata wine ya Namibia nitalipa. Sio kunidanganya nakufanya uhuni wa kipumbavu unakunywa Maji non stop chupa tano Kwa dk kumi nikajua unapakamia kumbe umeweka dawasco
Acheni upuuzi nyie wanawake hususani barmaid maana mtakuja kufanywa 0713 afu mseme wanaume wote mbwa. Sasa wewe barmaid niliyekupa hii offer ya kunywa bia sitoi hata mia. Tahila we
Nipo shinyanga mjini PAPILON BAR uhuru street. Kalibuni