Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Anakunywa chupa tano non stop!Ndomana mnafanyiwa ukatili, bora useme ukweli hutumii pombe mm nitakununulia hata wine ya Namibia nitalipa. Sio kunidanganya nakufanya uhuni wa kipumbavu unakunywa Maji non stop chupa tano Kwa dk kumi nikajua unapakamia kumbe umeweka dawasco
Acheni upuuzi nyie wanawake hususani barmaid maana mtakuja kufanywa 0713 afu mseme wanaume wote mbwa. Sasa wewe barmaid niliyekupa hii offer ya kunywa bia sitoi hata mia. Tahila we
Nipo shinyanga mjini PAPILON BAR uhuru street. Kalibuni
Tumelipokea hili swala kwa masikitiko makubwa sana.Ndomana mnafanyiwa ukatili, bora useme ukweli hutumii pombe mm nitakununulia hata wine ya Namibia nitalipa. Sio kunidanganya nakufanya uhuni wa kipumbavu unakunywa Maji non stop chupa tano Kwa dk kumi nikajua unapakamia kumbe umeweka dawasco
Acheni upuuzi nyie wanawake hususani barmaid maana mtakuja kufanywa 0713 afu mseme wanaume wote mbwa. Sasa wewe barmaid niliyekupa hii offer ya kunywa bia sitoi hata mia. Tahila we
Nipo shinyanga mjini PAPILON BAR uhuru street. Kalibuni
Huu ni wizi wa akili sanaAnakunywa chupa tano non stop!
Jamani maji na bia ni tofauti uchaji wake tumboni ujue!
Kupiga lita 2.5 za maji mfululizo ni mtihani, labda hilo gume gume lilikuwa na kiu mbwa, lakini "ukifungulia koki" la bia, bia 5 kitu gani kwa mlevi bhana!
Enhe mkuu ukaja gunduaje kwamba kakugeuza bwege anakugidia bila huruma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji6]?
Mkuu, kama mtu Ana shida na pesa atakunywa hata Lita Mia Kwa lisaa ili tu apate pesa. Niligundua kutoka Kwa mhudumu mwenzake alinisanua sunajua wanawake hawapendaniAnakunywa chupa tano non stop!
Jamani maji na bia ni tofauti uchaji wake tumboni ujue!
Kupiga lita 2.5 za maji mfululizo ni mtihani, labda hilo gume gume lilikuwa na kiu mbwa, lakini "ukifungulia koki" la bia, bia 5 kitu gani kwa mlevi bhana!
Enhe mkuu ukaja gunduaje kwamba kakugeuza bwege anakugidia bila huruma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji6]?
Duuuuh [emoji1787]Wengine huwa wanaenda kutapika kisha wanarudi.kila baada y bia5 anaenda kurudisha chenji anarudi
Simpihapo anamaanisha nini?! kwamba ile pesa ya bia akale chps??
kumbe ata wasukuma wajanja mbona!
Ndomana 0714Yananunuliwa maji makubwa chupa mbili ya buku buku na yanawekwa counter chini kabisa, anaenda anampanga counter anakua anamuwekea maji kwenye makasha tupu, sasa anakuja nalo linamaji anakunywa mdogo mdogo linaisha, anaacha hapo anaendea lingine yaani bia 5 , unatoa 10000 halafu anatoa buku 2 ya maji na counter anakula buku mbili faida 6000 , hapo utajipendekeza msosi wa elfu saba, utachukua goma kulala nalo 20k , bado ukiwa hujielewi utasachiwa atakutoa hata 10k ukiwa umeenda kuoga au atalamba 5k ukijumlisha one night ataondoka na 45K , kazi inaishia hapo
Usiku huu siwezi fatilia povuSafari isiyo na mapovu, afadhali angeweka sabuni ya omo kidogo
Asante sana mkurungwaTumelipokea hili swala kwa masikitiko makubwa sana.
Tutalifanyia kazi ndani ya mkoa huo. Asante