Nikajua anakunywa bia kumbe anajaza Maji kwenye chupa ya safari

Umenikumbusha kisa cha mererani.
Wachimba madini waliambiwa na mganga wapige mbupu punda!!
Wakamkata yule punda miguu ili asilete purukushani..kisha wakamuingilia jamaa km 7 hivi..
Hilo kaswende walipata iliwaua wote hadi madem zao
Dah, dunia ina mengi sana kwa kweli
 
Hebu acha hii tabia. Kama umempa ofa anadaiwa Kodi ya Nyumba,chakula kimepanda,salary anapata kidogo haizidi laki kwa mwezi,analea mtoto na mwingine anasoma aliopewa na wanaume Kama wewe wakamkimbia,bado mama yake Kijijini hela ya Panadol atumiwe,Kuna mdogo wake atamlilia shida ya alfu tano atamtumia.


Bro umesoma na maisha unayajua tokea enzi zile Lindi na mtt wa kimbulu wa ticha Ila bado hujayaelewa maisha ama saivi unakula kwa mrija umesahau huko ulikotoka.

Kumbuka hao dada zetu sio kuwa wanapenda kuifanya iyo kazi. Ni shida tu bana , wengine wamekimbia ndoa za manyanyaso,
Mie huwa nawapa tip na sidai kulipwa mbususu. Ile nakuwa na Ile human touch
 
Mkuu umenitoa machozi, ila huwa staki kukumbuka ya LINDI
 
Achana na hicho kiwanja broda,, Ungeenda la prince, ze atla au level one pub uendelee kumwagilia moyo. Halafu huyo barmaid achana naye sogea hapo mbele mita hazizidi hata 20 opoa toto kali mka mlaki shetani.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…