kagoshima JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 3,528 Reaction score 6,856 Mar 20, 2026 #1 -Aonaye haambiwi tazama. Baada ya wenzao kudakwa Kenya nikama kikosi cha watekaji na wauwaji wa watanganyika kipo likizo kidogo. Je hii inaashiria nini? Je nikwamba wamegundua project imeanza ku backfire? -Je malipo hamna? -Project imeisha?
-Aonaye haambiwi tazama. Baada ya wenzao kudakwa Kenya nikama kikosi cha watekaji na wauwaji wa watanganyika kipo likizo kidogo. Je hii inaashiria nini? Je nikwamba wamegundua project imeanza ku backfire? -Je malipo hamna? -Project imeisha?
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,371 Reaction score 28,790 Mar 20, 2026 #2 kagoshima said: -Aonaye haambiwi tazama. Baada ya wenzao kudakwa Kenya nikama kikosi cha watekaji na wauwaji wa watanganyika kipo likizo kidogo. Je hii inaashiria nini? Je nikwamba wamegundua project imeanza ku backfire? -Je malipo hamna? -Project imeisha? Click to expand... Wanajua wenyewe
kagoshima said: -Aonaye haambiwi tazama. Baada ya wenzao kudakwa Kenya nikama kikosi cha watekaji na wauwaji wa watanganyika kipo likizo kidogo. Je hii inaashiria nini? Je nikwamba wamegundua project imeanza ku backfire? -Je malipo hamna? -Project imeisha? Click to expand... Wanajua wenyewe
Robert Heriel Mtibeli Platinum Member Joined Mar 24, 2018 Posts 40,153 Reaction score 93,069 Mar 21, 2026 #3 Uchaguzi umeisha malengo yametimia. Ukamatwe wa nini?
K kiumbempole JF-Expert Member Joined Jan 15, 2016 Posts 702 Reaction score 1,199 Mar 21, 2026 #4 Dah!
Izato JF-Expert Member Joined May 15, 2019 Posts 5,441 Reaction score 11,669 Mar 21, 2026 #5 Wanangojea vipindi vya mfungo wa ramadhani na kwaresma vipite kwanza. hukumbuki kuwa Shetani naye alisilimu?
Wanangojea vipindi vya mfungo wa ramadhani na kwaresma vipite kwanza. hukumbuki kuwa Shetani naye alisilimu?
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,742 Reaction score 56,070 Mar 21, 2026 #6 Robert Heriel Mtibeli said: Uchaguzi umeisha malengo yametimia. Ukamatwe wa nini? Click to expand... Hata baada ya uchaguzi bado walikuwa wakiendelea, japo sio kwa rate ya mwanzoni
Robert Heriel Mtibeli said: Uchaguzi umeisha malengo yametimia. Ukamatwe wa nini? Click to expand... Hata baada ya uchaguzi bado walikuwa wakiendelea, japo sio kwa rate ya mwanzoni