Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,641
Inatafuta vita na fantastic weweTo yeye mkaribishe Babu yenu mie karibu babu hapa ndio jf Kuna mashoga wengi kushinda wanaume marijali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatafuta vita na fantastic weweTo yeye mkaribishe Babu yenu mie karibu babu hapa ndio jf Kuna mashoga wengi kushinda wanaume marijali
Ninaishi na wajukuu wangu, bibi yenu alishakufa 2017 na cancer, nipo pekee yangu ila wajukuu wananipa furaha sana,Babu umejenga au ndio umejizima mahali babu unataka utafutiwe bibi wakufa nae??😆😆😄😄
Basi Kama hujamaliza tule ya kwako wote, afu mwakani tunakula yangu.....Mie Mzee mwenzio nastaafu mwakani....say yes🤣🤣Naitumia kwenye miradi yangu, mdogo mdogo nilipanga vizuri kabla sijastaafu
Mhhhhhh.....🙃Basi Kama hujamaliza tule ya kwako wote, afu mwakani tunakula yangu.....Mie Mzee mwenzio nastaafu mwakani....say yes🤣🤣
Babu uchoyo huo....we hutaki kuweka milioni upate milioni Kumi?🤣🤣🤣Hapana rafiki, hiyo iko kwenye budget rafiki,
Na watoto hawatoniruhusu sitaki kugombana nao 👐
Ntakuwa kwenye siasa nadhani rafiki, asante kwa kunitaarifuBahati mbaya huna haja ya kujitambulisha wewe ni babu, JF wanaume wote ni early 30’s wanakunywa pombe, wanajua sana kuchakata, wana magari, wanaume wengi humu wana nyumba na maisha bora.
Yaani sisi wote ni vijana.
Kasoro hakuna ndoa humu, RIP mkeo.
Na wanawake wote hawa ni single mothers. Wazuri kwenye typing wabaya face 2 face. Chagua jarida uwe unatoa mawazo.
LILe la kubeti usiingie huwa hawashindi kule.
Labda unajua nitakutapeli🤣🤣🤣Sina shida na hiyo millioni 10 rafiki, nimeshaona hela nyingi nimeridhika sasa, 👐