Nikaribisheni

Nikaribisheni

Yaani mngejua nilivo wakaiwa sanaa na sometimes nakosa hata ya soda msinge niita 'Mkuu' maana hicho cheo hata sistahiki
 
mkemiamkuu usimtishe dada yangu mpendwa... mimi mbona ni mtu mwema sana? tena ukiweza jaribu kupitia kila demu ambaye nime mgegedua.. ukiwa naye mwambie akupe style alizojifunza kwangu. utaenjoy sana.
[emoji1] [emoji1] gudume ndio huyu. Yani dp yake na jina lake mie sina mbavu
 
Yaani mngejua nilivo wakaiwa sanaa na sometimes nakosa hata ya soda msinge niita 'Mkuu' maana hicho cheo hata sistahiki
Bado tunaendelea kukuelekeza.

Neno ''Mkuu" hapa linatumika kwa mtu yoyote maana hatujuani, na huwezi kujua huyu ni mkubwa zaidi yako au mdogo kwako.

Kwa hiyo hilo neno ni unique kwa matumizi hapa. Ukiitwa hilo neno sio kwamba umekuwa Boss au mtu mwenye hadhi sana.
 
Aaahhh nimekuelewa rafiki angu
 
ILi Ku bold unafanyaje

Ku bold Maneno ndo bafo
Kuna uzi unaoelezea ku bold, nimeutafuta bado sijaupata, nikiiupata nitakuletea link ukajifunze.

Ila tunaweza kuanza kidogo kidogo kuelekezana.

Andika [ halafu inafuatiwa na herufi ''b" andika ] halafu andika maneno unayotaka kucomment.

Lakini usiache nafasi kuanzia mabano hadi maneno.

Jaribu nione
 
ha ha ha aniva.. kawaida tu . karibu sana tujumuike na ukifika miji kama hii usisite kutuona sisi wenye miji. kama ni binti nione nikuelekeze mambo kadhaa na kama ni wa kiume ntakuelekeza kwa jamaa mmoja hivi yeye kama ukipata pesa unamwona anakupeleka bar yenye mademu wakali. ila kama ni bint usisite kuja nikupe wosia na uzoefu wa humu ndani wanaume wakware wasije kukusumbua maana wengine............
[emoji1] [emoji1] gudume ndio huyu. Yani dp yake na jina lake mie sina mbavu
 
Back
Top Bottom