Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji23][emoji23][emoji23]Usipeperushe njiwa wangu mkuu[emoji34] [emoji34]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Usipeperushe njiwa wangu mkuu[emoji34] [emoji34]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nakuona nakuona
Nilikuwa napita tu kukusalimia[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Umetokea wapi wewe????????
Poa.Nilikuwa napita tu kukusalimia
Mambo?
Mimi pia huu mwezi wenye siku 900 ukiisha nitakuwa nimenyookaPoa.
Nimekuhamu sana ujue[emoji34] [emoji34]
Asante Kwa ushauri wakoha ha ha aniva.. kawaida tu . karibu sana tujumuike na ukifika miji kama hii usisite kutuona sisi wenye miji. kama ni binti nione nikuelekeze mambo kadhaa na kama ni wa kiume ntakuelekeza kwa jamaa mmoja hivi yeye kama ukipata pesa unamwona anakupeleka bar yenye mademu wakali. ila kama ni bint usisite kuja nikupe wosia na uzoefu wa humu ndani wanaume wakware wasije kukusumbua maana wengine............
SawaMimi pia huu mwezi wenye siku 900 ukiisha nitakuwa nimenyooka
Niitie Kichwa Kichafu aje kukaribisha mgeniSawa
Siku hizi namuona usiku tu, atakuja usikuNiitie Kichwa Kichafu aje kukaribisha mgeni
Shemejio mimi...Wacha weee
Hilo pia jina lamtu?Niitie Kichwa Kichafu aje kukaribisha mgeni
Nimekuelekeza namna ya kubold umeona?Hilo pia jina lamtu?
Andika herufi ''b" katikati ya hayo mabano halafu inafuatiwa na ujumbe unaotaka kuutuma nje ya hayo mabano[Humu]
Hongera aiseh!Shemejio mimi...
Ndio ni jina la mtu,akija utamwonaHilo pia jina lamtu?
Ndiyo mimi ni mwanamke,karibu sanaAsante carba. Bila shaka wewe ni mwanamke