Nikaribisheni

Bongo muvi inafurahisha sana.

Nani kaiona hii muvi anitajie jina Kuna zawadi
 
Hahaha sasa Fanya hivi. Weka dau hapa nijue kiasi gani napata. ILi watu wajue nauza namba Kwa shngap. Isije kuwa ela ya fanta[emoji23] [emoji23]
Ungechanganya kila kitu ili dau lipande sio namba tu
Hapo ningetoa 1m kwa ajili ya chips tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…