Nikaribisheni

Nikaribisheni

Humu unawezaje kushare video kutoka you tube?
 
Yaani Uzi umekimbia hivi kwa kumkaribisha kimwana
Haya acha mimi mzee nisubiri kuombwa ya soda tu
Karibu sana JF utajifunza mengi na wengi
 
Habari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age

Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
Aniva una upepo wa jini. Siku mbili tu una like 250+. Karibu
 
Mwenye kujua jinsi ya Ku post video from YouTube jamani
 
Hahahahaa nipe tu ya soda.[emoji1] [emoji1] [emoji1] asante sana black
Hiyo haina shida Aniva, unajua wazee tukiombwa ya soda tunatoa laki3 hahaha
Natumaini umejionea mengi kwa siku 2 tu kijijini kwetu hapa.
Enjoy young lady
 
Hahaaaa Kwa kweli ni Raha kila kitu kipo humu. Yaani mapenzi.mapishi.mitindo.siasa na uchafu woote katika maisha vipo humu. Usisahau lakin ya soda babu[emoji1]
 
Mwenye kujua jinsi ya Ku post video from YouTube jamani

Mfano

a9ba654ad7b43e9722266dad4b38b8f4.jpg
 
Hahaaaa Kwa kweli ni Raha kila kitu kipo humu. Yaani mapenzi.mapishi.mitindo.siasa na uchafu woote katika maisha vipo humu. Usisahau lakin ya soda babu[emoji1]
I see yaani wewe unaonekana mwema sana ngoja nikutumie tu hiyo ya soda ila sasa hakuna hiyo option ya kutumiana hela JF
Nasubiri namba.
 
Hahaaaa Kwa kweli ni Raha kila kitu kipo humu. Yaani mapenzi.mapishi.mitindo.siasa na uchafu woote katika maisha vipo humu. Usisahau lakin ya soda babu[emoji1]
Jiangalie tu kuna matapeli pia sio biashara zote au watu wote ni wema
Wengine ni opportunist
 
Back
Top Bottom