Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio umeamka?Asante my.
Haaaa kila saa nakua wamwisho yaan ndo umekuja nijib usiku huuu [emoji24] [emoji24]Hahahahaa jaman nimecheka sana hii post. Not yet putin
Mmmhhhh. Nimeachwa hapo Kwenye sentes ya mwisho.[emoji20]Haaaa kila saa nakua wamwisho yaan ndo umekuja nijib usiku huuu [emoji24] [emoji24]
Anyway My buddies bet me that ,I will not be able to start a conversation with such beautiful creature like you , will you want to buy some drinks with their money ?[emoji12]
Unamacho lakini huoni [emoji23] embu vaa miwani kwanza !!![emoji12] ,unanipa kazi wewe loooh ,ila ngoja nikufafanulie ,nitafanyaje sasa[emoji6]Mmmhhhh. Nimeachwa hapo Kwenye sentes ya mwisho.[emoji20]
Unamacho lakini huoni [emoji23] embu vaa miwani kwanza !!![emoji12] ,unanipa kazi wewe loooh ,ila ngoja nikufafanulie ,nitafanyaje sasa[emoji6]Mmmhhhh. Nimeachwa hapo Kwenye sentes ya mwisho.[emoji20]
Mkuu nakuona katika ubora wako. Waleteeeeeee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unamacho lakini huoni [emoji23] embu vaa miwani kwanza !!![emoji12] ,unanipa kazi wewe loooh ,ila ngoja nikufafanulie ,nitafanyaje sasa[emoji6]
Naomba kwanza uniambie if you have a Bandaid ?
Daaahh Mkuu nipo ati siunajua Uchaguzi Wa urais umefika na natafuta kuchaguliwa upya ?? Saizi nipo ktk kampeni mkuu !!.Mkuu nakuona katika ubora wako. Waleteeeeeee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
SawaHapana sema nilikuwa harusi ndio nimerudi now
Hahaha wewe mwaka huu utaachia Kiti Hicho. Tutafanya figisu TukutoeeDaaahh Mkuu nipo ati siunajua Uchaguzi Wa urais umefika na natafuta kuchaguliwa upya ?? Saizi nipo ktk kampeni mkuu !!.
Vipi Kim Jong In mmeshamalizana au ??.
[emoji5] Mgeni awapo malangon hustahili mazuri [emoji23] [emoji122]
Panki Muache Ahangaike tuu. One day ntamfuta Kwenye USO Wa dunia na hata Amini Hadi akasimulie Kwa Maraika MToa RohoDaaahh Mkuu nipo ati siunajua Uchaguzi Wa urais umefika na natafuta kuchaguliwa upya ?? Saizi nipo ktk kampeni mkuu !!.
Vipi Kim Jong In mmeshamalizana au ??.
[emoji5] Mgeni awapo malangon hustahili mazuri [emoji23] [emoji122]
Pole na uchovu niva mama. Hapa ndo Jf. Jisikie Amani mda wote ukihitaji ushauri usisite kutuona chembaHapana sema nilikuwa harusi ndio nimerudi now
Hahahahahaha haiwezekan , yaaan hesabu zenu ziweken 2024 ..kwasasa sina mpenzi ,zaidi naona upinzani kutoka kwa ma Tycoon ambao Marekan inataka iwawekee vikwazo and they are my friend !!Hahaha wewe mwaka huu utaachia Kiti Hicho. Tutafanya figisu Tukutoee
Uko poa anivaHapana sema nilikuwa harusi ndio nimerudi now
Hahaha wewe jitekenye tuu. Utaniambia hicho kama utarudi. Tunapiga figisu grade A+ bila kukoseaHahahahahaha haiwezekan , yaaan hesabu zenu ziweken 2024 ..kwasasa sina mpenzi ,zaidi naona upinzani kutoka kwa ma Tycoon ambao Marekan inataka iwawekee vikwazo and they are my friend !!
Ndo maana siku zilizopita ,nimewaomba matajiri wanchi yangu wote waanze kurudisha pesa nyumban !!.