Nikaribisheni

Majina yangu siyo ishu. La kwanza Aniva. Lapili Richard. Latatu Maro.

Namba ya baba ninaweza kukupa iLa ngoja nimuulize. Kuhusu kunijulia hali haina shida wewe tuu.

ILa wewe unaonekana mjanja mjanjaaa πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
Hebu weka picha tukuine Aniva

Mimi nmiekupa like yako ya kwanza kbs JF hopefully utakuwa mchangiaji mzuri na like zijae mpk juu
Siamini na wewe umepata ban. Pole sana rafiki!
 
Majina yangu siyo ishu. La kwanza Aniva. Lapili Richard. Latatu Maro.

Namba ya baba ninaweza kukupa iLa ngoja nimuulize. Kuhusu kunijulia hali haina shida wewe tuu.

ILa wewe unaonekana mjanja mjanjaaa πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
Yaaan ktk wishes zangu nilokuomba ,moja tu ya maji na ndo umeitendea haki !!.

Yapili hujafanya sawasawa sababu hata yako ingefaa tu unless unapendelea ya Baba.

Latatu,, umenigeuzia Mimi kibao !!.

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] amna bana , ningekua naujanja tayar mmhhh !!
 
Hahahahaa nawewe umechapia. instead majina umeandika maji*
 
Hahahahaa. We mtu kama hujasoma sheria sijui. Maana cyo kwa Mtapiko huo. Sijui ni Mimi ndo sijui lugha au unanifunga kamba tuu.
Mmhhh kivipi yan ?. ' from Pearl harbor?? Of course yes because you are 'Bomb'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…