Nikaribisheni

Nikaribisheni

Chagua moja nikujibu Hapo. Yote ntaandika nimalize page Nzima hapa
Why me ?
ef6452942315ed0ce5ef15db0993200e.jpg
 
Amna ukifanya ivo siku ingine siwezi kukusaidia unless you don't need my help anymore!!.

Kutoka kwangu ,, naomba unisaidie mambo haya matatu just for insurance purpose
[emoji117] majina yako matatu kamili.
[emoji117] namba ya simu hata km ni ya Baba nisawa ,ili mradi niwe namuuliza Aniva hajambo !!.
[emoji117] kila siku asubuh niwe MTU wako wakwanza kumjulia hali nakila siku usiku niwe MTU wako wamwisho Wa kumtakia usiku mwema !!.

Please PM me if you are brave enough[emoji12] [emoji12] !!.
Majina yangu siyo ishu. La kwanza Aniva. Lapili Richard. Latatu Maro.

Namba ya baba ninaweza kukupa iLa ngoja nimuulize. Kuhusu kunijulia hali haina shida wewe tuu.

ILa wewe unaonekana mjanja mjanjaaa 🙂 🙂 🙂 🙂
 
Hebu weka picha tukuine Aniva

Mimi nmiekupa like yako ya kwanza kbs JF hopefully utakuwa mchangiaji mzuri na like zijae mpk juu
Siamini na wewe umepata ban. Pole sana rafiki!
 
Majina yangu siyo ishu. La kwanza Aniva. Lapili Richard. Latatu Maro.

Namba ya baba ninaweza kukupa iLa ngoja nimuulize. Kuhusu kunijulia hali haina shida wewe tuu.

ILa wewe unaonekana mjanja mjanjaaa 🙂 🙂 🙂 🙂
Yaaan ktk wishes zangu nilokuomba ,moja tu ya maji na ndo umeitendea haki !!.

Yapili hujafanya sawasawa sababu hata yako ingefaa tu unless unapendelea ya Baba.

Latatu,, umenigeuzia Mimi kibao !!.

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] amna bana , ningekua naujanja tayar mmhhh !!
 
Hahahahaa nawewe umechapia. instead majina umeandika maji*
 
Hahahahaa. We mtu kama hujasoma sheria sijui. Maana cyo kwa Mtapiko huo. Sijui ni Mimi ndo sijui lugha au unanifunga kamba tuu.
Mmhhh kivipi yan ?. ' from Pearl harbor?? Of course yes because you are 'Bomb'.
 
Back
Top Bottom