Si ndomana nmekubal kua wachezaj wa bongo ni bora kuliko wote dunian.Sasa unadhani ubora Wa uwanja hauongezi ubora Wa mchezaji? Na unafikiri kwanini wanaboresha ubora Wa viwanja.
Niambie timu inavyocheza Mkwakwani in sawa Na inavyocheza Taifa Dar es Salaam?
Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
Pov la nin sasa mkuu,hapa si majadiliano tuu,..uswahil mwiiing,kama unaona vp usichangie uzi
Kweli kabisa. Kubeba kombe la dunia isiwe sababu ya kuwa best player ever. Waliobeba kombe la dunia wapo wengi sana.
Nafikiri umeanza kuangalia mpira miaka ya hivi karibuni! Kwa taarifa, vipaji vilikuwa zamani sio sasa na ndio maana wachezaji waliotisha kama kile kikosi hatari cha Brazil cha 1970 walipochukua kombe la dunia mara tatu na kulichukua moja kwa moja hakijawahi kutokea kikosi bora kama cha wakati hule! Ndio maana hata hapa Tanzania hadi leo ukiondoa mwaka 1980 wakati Tanzania kwa mara ya kwanza na ya mwisho kushiriki African Cup of Nations tukiwa na kikosi cha akina Tenga hakuna wachezaji wa kiwango kile waliowahi kutokea hadi sasa. Sio mpira tu, kuja kwenye ngumi, kumbuka bondia aina ya Muhammed Ally, George Fomen, Freizer, Spinks na wengine wengi. Ndungu yangu kwa vipaji ilikuwa zamani ktk nyanja nyingi bila kusahau riadha ya akina Filbert Bayi na Juma Ikangaa nk lkn sasa hivi tunafuta tumpeleke nani msimu Olympic games.Ila messi ni habar nyingne,yaan anacheza kwenye ulimwengu wa mpira wa science na elim ya darasan lakin bado anatupia,..enz za hawa wa zaman,competition ilikua sio kubwa,so best player wa miaka hii na miaka ile,wana utafaut mkubwa
Messi amepiga chini Pele kivipi? Tujadiri kwa busara.Mkuu Napoleone samahani aise kama nimekudisturb....but ukweli ndio huo,,, u know that huyo pele huwa namfananisha na cr7 tabia zake, kidogo zinaendana endana na uzee pia unachangia mtu analopoka hovyo. "Mtu anajitangazia kuwa yeye ni mfalme wa soka na hakuna kama yeye" huo tuite ni uchizi ama??? Huyo pele wako namzungumzia mkuu,, baada ya kuona mtoto wa kiargentina kampiga chini babu wa watu akaamua kutoa ya moyoni.....
- Messi
- ......No body
- Maradona
- Pele
- Alfredo
- Cruiff
- Zidane
- Requelme
- Cr7
- Puskas
- Di lima
Ni kosa kubwa kumlinganisha Pele aliyebeba ndoo tatu za kombe la dunia na Messi. Kwanza hawa viumbe wameishi ktk nyakati tofauti kabisa. Mlinganishe Messi na mpinzani wake Cristiano Ronaldo sio Pele au Maradona ni kosa la ufundi sana.Nimeangalia tena magoli ya pele, HAYANA skills, ni mazuri kwa kizazi hicho ila kwa kweli kwa sasa tuko advanced. Hayana nafasi.
Alafu wachezaji wa zamani hata hawajui kushangilia.
Video za nani na nani best?Tuwekeeni video zao hap
MaradonaUkipata fursa nyingine,mtazame na Diego Armando Maradona. Angalia usimkatae tu uliyeambiwa ni mfalme Wa soka
Na pele,maradona na messi,ili kufuta ubishiVideo za nani na nani best?
Mhuuu!Binafsi Mohamed kwangu ni namba 1,, akifuatiwa na Evanda
Ni mtazamo wako, kwangu naona kama alikuwa na skills za kawaida tu. Messi ronaldo na DINHO ni zaidi ya pele. Kuna uwezekano aliocheza nao hawakuwa na ujuzi sana wa kisoka.Ni kosa kubwa kumlinganisha Pele aliyebeba ndoo tatu za kombe la dunia na Messi. Kwanza hawa viumbe wameishi ktk nyakati tofauti kabisa. Mlinganishe Messi na mpinzani wake Cristiano Ronaldo sio Pele au Maradona ni kosa la ufundi sana.
CR7 ndio angeshindwa kucheza enzi hizo ila Messi kwa kina ya uchezaji wake ni ule mpira Wa mtaani kabisa ule ndugu,yule jamaa anavyorukaga vihunzi na si mlalamishi sana wala kujiangusha sana anngeweza kucheza hata ndondo za enzi hizo unacheza huku unapigwa mikwara na wacheza na mashabiki na bado mpinzani anayekukaba anahamasishwa akutie kidole.Mnapowalinganisha Pele Na Maradona dhidi ya akina Messi pia muangalie aina ya viwanja vilivyokuwa vimatumika wakati huo na sheria za Mpira wakati huo.Viwanja vilikuwa vibovu Na walinzi 'rough'uwankani ilikuwa ya kuvunjana miguu.Hii mnayoita double clutch haikuwa kosa wala hapamuwa na kadi kwa kosa hilo
Kwa aina ya mpira Wa zamani ulikuwa umachezwa kwenye hali ngumu sana kiasi kwamba Messi Na wengineo Wa sasa wasingehimili ila kwa maboresho ya sheria Na viwanja Pele Na Maradona wangekuwa hatari zaidi.
Hivi Messi anaweza kuucheza Moira vizuri kwenye viwanja vyetu vya ndondo cup Kama kule Mkwakwani,Jamhuri Morogoro,Kirumba n.k
Wenzetu wanapowaweka hao jamaa nafasi za juu si kwamba hawajui Messi ni bora ila mazingira yanafanana?
1. RonaldhinyoOrodha iko hivi
1.Pele
2.Maradona
4.Cruyff
5.Messi
Wengine wanafuata
U can't compare Pele na Messi ndungu, ni sawa wewe tuku-compare na mzazi wako, different things. Hawa viumbe wameishi ktk nyakati tofauti kabisa. Pele amebeba ndoo tatu za kombe la dunia wakati wake, Messi hajabeba hata kombe moja hata la America ya kusini. Messi anacheza mpira Europe miaka yake yote, Pele hajawahi kucheza mpira Europe bali Latin America na USA. Hawa ni watu wawili tofauti, you can't compare them at all.Na pele,maradona na messi,ili kufuta ubishi
Mbwana!!!Maradona
Gaucho
Messi
Zidane
Okocha mbwana samatta ni dunia nyingine hawa
Ukitaka kujua vipaji vya wanandinga njoo kombe la dunia. Messi ambaye hajachangia kutwaa kombe la Latin America wala Kombe la dunia huwezi kum-compare na Pele au Maradona hata kidogo. Messi akija timu ya taifa ana-struggle sana.Ni mtazamo wako, kwangu naona kama alikuwa na skills za kawaida tu. Messi ronaldo na DINHO ni zaidi ya pele. Kuna uwezekano aliocheza nao hawakuwa na ujuzi sana wa kisoka.
Suala la viwanja sio ishu. Mbona watu wanatupia tu uku uswazi na viwanja vibovu. Tena hakuna kiwanjia kilicho na kazi kufunga kama viwanja vya sasa. Zaman ukipiga ukadunda lazima liwe goli. Tena magoli ya Pele siyakubali tu nashangaa wanamuacha Chitaru wa Zambia.Mnapowalinganisha Pele Na Maradona dhidi ya akina Messi pia muangalie aina ya viwanja vilivyokuwa vimatumika wakati huo na sheria za Mpira wakati huo.Viwanja vilikuwa vibovu Na walinzi 'rough'uwankani ilikuwa ya kuvunjana miguu.Hii mnayoita double clutch haikuwa kosa wala hapamuwa na kadi kwa kosa hilo
Kwa aina ya mpira Wa zamani ulikuwa umachezwa kwenye hali ngumu sana kiasi kwamba Messi Na wengineo Wa sasa wasingehimili ila kwa maboresho ya sheria Na viwanja Pele Na Maradona wangekuwa hatari zaidi.
Hivi Messi anaweza kuucheza Moira vizuri kwenye viwanja vyetu vya ndondo cup Kama kule Mkwakwani,Jamhuri Morogoro,Kirumba n.k
Wenzetu wanapowaweka hao jamaa nafasi za juu si kwamba hawajui Messi ni bora ila mazingira yanafanana?
Kombe la dunia sio la mtu mmoja mmoja, ni timu work.Ukitaka kujua vipaji vya wanandinga njoo kombe la dunia. Messi ambaye hajachangia kutwaa kombe la Latin America wala Kombe la dunia huwezi kum-compare na Pele au Maradona hata kidogo. Messi akija timu ya taifa ana-struggle sana.
Messi hatoweza kucheza kiwanja kibovu wakati vizuri vipo. Sema we akili yako inakutuma ni ngumu Ku_score kiwanja cha mchangani wakati mtaani huku wanafungana magoli daily. Ujue suala la mchezaji kushindwa kucheza kiwanja kibovu ni Psychology tu. Messi hawez kucheza rough pitch hatomudu maana ameshajengwa kucheza pitch nzuriMnapowalinganisha Pele Na Maradona dhidi ya akina Messi pia muangalie aina ya viwanja vilivyokuwa vimatumika wakati huo na sheria za Mpira wakati huo.Viwanja vilikuwa vibovu Na walinzi 'rough'uwankani ilikuwa ya kuvunjana miguu.Hii mnayoita double clutch haikuwa kosa wala hapamuwa na kadi kwa kosa hilo
Kwa aina ya mpira Wa zamani ulikuwa umachezwa kwenye hali ngumu sana kiasi kwamba Messi Na wengineo Wa sasa wasingehimili ila kwa maboresho ya sheria Na viwanja Pele Na Maradona wangekuwa hatari zaidi.
Hivi Messi anaweza kuucheza Moira vizuri kwenye viwanja vyetu vya ndondo cup Kama kule Mkwakwani,Jamhuri Morogoro,Kirumba n.k
Wenzetu wanapowaweka hao jamaa nafasi za juu si kwamba hawajui Messi ni bora ila mazingira yanafanana?