navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Kwanza habari za wakati wanajamii wenzangu.!?
Mm ni mhitimu wa chuo kikuu cha dar es salaam(Udsm) katika fani ya bachelor of science with education majoring physics na chemistry. Mwaka huu 2018.
Kutokana na wimbi la ajira kutokueleweka napenda sana kuendelea kusoma digrii yangu ya pili.
Nipo hapa kuwaomba msaada wenu wa kuniorodheshea program yeyote nzur tofaut na ualim ambayo naweza kusomea masters.
Umri wangu mpaka saiz ni miaka 24. Katika degree yangu nilfanikiwa kupata GPA ya upper second 3.7
Kwahyo mchango wowote kwangu ni wa muhim sana kama utakua unaijua.
ASANTENI SANA na nasubir pia mawazo yenu.