navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Kwakua ishatokea haina haja ya kulaum,ningependa unishaur nikasomee kipi tena master nitafrahi mkuuYani ungesomeaga hata Nursing ungekuwa mbali sana
Nataka cozy ya chuo mkuuNenda VETA mkuu kasomee umeme wa magari hutojuta
We unataka kusoma masters ili iweje? Kwanini usitumie ada kujiajiri?Kwanza habari za wakati wanajamii wenzangu.!?
Mm ni mhitimu wa chuo kikuu cha dar es salaam(Udsm) katika fani ya bachelor of science with education majoring physics na chemistry. Mwaka huu 2018.
Kutokana na wimbi la ajira kutokueleweka napenda sana kuendelea kusoma digrii yangu ya pili.
Nipo hapa kuwaomba msaada wenu wa kuniorodheshea program yeyote nzur tofaut na ualim ambayo naweza kusomea masters.
Umri wangu mpaka saiz ni miaka 24. Katika degree yangu nilfanikiwa kupata GPA ya upper second 3.7
Kwahyo mchango wowote kwangu ni wa muhim sana kama utakua unaijua.
ASANTENI SANA na nasubir pia mawazo yenu.
Acha tuu brooooo. Mm nna certificate ya veta nakula maisha. Gamba langu la degree hata sina mpango wa kulifuata Chuoniumeme wa magari veta kipawa, hutojutia
Wengi wanatoa ushauri kuwa jamaa aende Veta. Najua jamaa atakuwa na shingo ngumu kama farao kutowaachia wana wa israeli. Lakini baada ya Muda atasema ni kweli
Ngoja tuone boss. Maisha ya bongo hayahitaji elimu kubwa.Unajuwa mkuu mtu akisoma vyuo vyetu anajiona ashakuwa msomi mkubwa kumbe Veta ni zaid ya hiyo UDSM kwenye maisha halisi ya mtaa
Una certificate ya nini? Mimi nataka kusoma Industrial/Domestic Electrical Installation. Hapo unaniambiaje maana tayari nina basic ya Electrical Engineering Science kutoka Technical School. Pia hebu niambie kuhusu Renewable Energy(Solar Energy) nimeona shortcourse VetaDakawa.Acha tuu brooooo. Mm nna certificate ya veta nakula maisha. Gamba langu la degree hata sina mpango wa kulifuata Chuoni
Usisome short course. Soma long course. Hata mm nna Industrial. Pia nimesoma technical school majoring in Electrical.Una certificate ya nini? Mimi nataka kusoma Industrial/Domestic Electrical Installation. Hapo unaniambiaje maana tayari nina basic ya Electrical Engineering Science kutoka Technical School. Pia hebu niambie kuhusu Renewable Energy(Solar Energy) nimeona shortcourse VetaDakawa.
Na huchukua miaka mingapi? Maana wengine wanasema 5 wengine ni 4Usisome short course. Soma long course. Hata mm nna Industrial. Pia nimesoma technical school majoring in Electrical.
Very simple soma tu bob
Ukisoma Direct bila kurudiarudia ni 3 years.Na huchukua miaka mingapi? Maana wengine wanasema 5 wengine ni 4