Nikasome Shahada ya Uzamili inayohusiana na nini?

Hata ya Ufugaji ipo poa
 
Mwenyew kuna dogo langu kamaliza form 4 nataka nimpeleke veta hapa npo najiuliza sijuwi nimpeleke kozi gani
 
Kwanza fikiri unataka kufanya nini maishani mwako alafu nenda chuo ambacho kitakusaidoa kuongeza competency na confidence ya unachotaka kusomea huku mwenye uwe committed na jambo husika.
 
Ingia chama cha kijani, Fanya kujitoa akili, Tukana sana upinzani, post Kila mtandao wakijamii nakuhakikishia ukuu wawilaya unakuhusu muda si mrefu. Hiyo ada nenda kanunulie jezi na ujiunge mabado yakutosha.
 
Mkuu kwa ayoo masomo yako sidhani kama unaweza kukosa kazi private, kama kweli kichwan upo smart, material unatililika mwanzo mwisho, form one mpaka six physics wanahitajika sanaa, kizur zaid gpa ni nzur huwezi kosa kaz kabisaa
 
Asante mkuu
 
Mimi nakushauri soma BSc Medicine au Pharmacy au somea Bsc medical laboratory mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…