Nikasome Shahada ya Uzamili inayohusiana na nini?

Kwanza hongera kwa huo ufaulu ndg. Pili, kwa hayo masomo nakuhakikishia hutakaa mtaani muda mrefu maana kuna uhaba mkubwa wa walimu wa Physics na Chemistry. Lakini pia ukitaka kuajiriwa private sector hususani shule za private hutakosa. Mwisho kama una mpango wa kusoma Masters, nakushauri ufanye kazi walau miaka michache hope next year ajira zitatangazwa na Tamisemi. Ukiwa kazini halafu ukaomba ruhusa ya kwenda kusoma Masters mshahara unaendelea kuingia na kukusapoti gharama za chuo maana HESLB hawawezi kukupatia mkopo kama hujalipa nusu ya mkopo wa awali uliosomea undergraduate. Kuhusu course ya kusomea Masters nakushauri uendelee na sayansi yako, course za pure sayansi ni nyingi sana
 
Thanks for ur advice kiongozi
 
Unajuwa mkuu mtu akisoma vyuo vyetu anajiona ashakuwa msomi mkubwa kumbe Veta ni zaid ya hiyo UDSM kwenye maisha halisi ya mtaa
HAPANA kabisa labda tujue kwanza wasifa wao hao wanaomshauri hivyo, msipotoshe watu, sio kwamba graduate hawezi kusoma certificate (veta) hapana anaweza kama ana Interest /hobby na specific skills, nilishaona PhD holder (Dr) pale Udsm aliingia kusoma certificate ya entrepreneurship certificate course sababu alikuwa anaupenda tu ujasriamali sio AJIRA
 
Kasome one of the following
Msc.physcs
Msc.material science
Msc.petroleum chemistry
 
Business administration, ikishindikana tafuta mtaji piga biashara. Kuna mdada alimaliza degree ya kwanza akaamua kupiga biashara ya kuuza uji bila kuangalia makunyanzi na sasa yupo mbali. Angalia tu mwisho wa siku unaingiza ngapi? Usichague kazi.
 
Are you passionate about science and technology? Ready to make a difference in the world of laboratory sciences? Join us at the Dar es Salaam Institute of Technology, Mwanza Campus for our Bachelor of Technology (B. Tech) in Laboratory Sciences program!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…