Nikaulizwa: Eti wewe ndio mrs Mshana?

hahaaaaaa kumbe shida ni english mi nilijua shida ni wewe unasura ya kike lol!
 
Alikua sahihi kabisa, maana ndo maelekezo aliyopewa.
 
Nimekikumbuka hiki kisa nikaona nikitafute
 
tatizo alishajiandaa kukuwinda sasa shetan kamuacha peke yake mweeeeeh
 
sijui kwa nini hata baada ya wakoloni kuondoka lakini bado tunafikri kikoloni?,utakuta mswahili mwenzangu hata kusoma tu kiswahili hajui ila tumaneno twa kizungu kila dakika ukiongea nae katupia.yani baada ya miaka hamsini ya uhuru bado twaionea haya lugha yetu?.na huu mchanganyo wa hizi elimu zetuu ndo shida tupu
 
tatizo alishajiandaa kukuwinda sasa shetan kamuacha peke yake mweeeeeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji30] [emoji31] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shule shule shule......
Ndo maana kuna kiongozi mmoja wa siasa alisema akiingia madarakani atawekeza na kuipa uzito mkubwa Elimu Elimu Elimu....
 
Ha ha ha
mkuu huyu mdada alikuwa wa kupiga makofi aiseeee, sema tu huna hasira.

Usikute kamaliza kiingereza chote kwenye vocabulary zake, kajitutumua kutumia neno Mrs baada ya kuliona kwenye movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…