Nikaulizwa: Eti wewe ndio mrs Mshana?

Nikaulizwa: Eti wewe ndio mrs Mshana?

Ha ha ha
mkuu huyu mdada alikuwa wa kupiga makofi aiseeee, sema tu huna hasira.

Usikute kamaliza kiingereza chote kwenye vocabulary zake, kajitutumua kutumia neno Mrs baada ya kuliona kwenye movie
Yani siku hizi nikiwaona warembo na mawani makubwa na mawigi simati foni na makeups za kufa mtu namkumbuka yule binti
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo maana Mimi nikiona sina uhakika na neno naachana nalo,silitumii..unaweza tumia halafu mwisho ukaja kufedheheka bure.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo maana Mimi nikiona sina uhakika na neno naachana nalo,silitumii..unaweza tumia halafu mwisho ukaja kufedheheka bure.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom