Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #41
Yani siku hizi nikiwaona warembo na mawani makubwa na mawigi simati foni na makeups za kufa mtu namkumbuka yule bintiHa ha ha
mkuu huyu mdada alikuwa wa kupiga makofi aiseeee, sema tu huna hasira.
Usikute kamaliza kiingereza chote kwenye vocabulary zake, kajitutumua kutumia neno Mrs baada ya kuliona kwenye movie