Nikaulizwa: Eti wewe ndio mrs Mshana?

Nikaulizwa: Eti wewe ndio mrs Mshana?

hahaaaaaa kumbe shida ni english mi nilijua shida ni wewe unasura ya kike lol!
 
Alikua sahihi kabisa, maana ndo maelekezo aliyopewa.
 
Kisa chenyewe kilitokea mlimani city kule upande wa chini kabisa kusiko na magari mengi upande wa Sam Nujoma rd.
Tulikubaliana na jamaa yangu tukutane pale kuna mzigo nimpe, lakini baadae akanipigia simu kuwa kapata dharura hivyo anamtuma bebi wake na akampa na contact zangu
Haukupita muda nikapigiwa simu na huyo bebi wa jamaa nikamuelekeza nilipopaki gari aina ya gari na namba zake
Bidada akazingatia maelekezo na akafika mpaka nilipo,alikuwa kajiremba kweli na sun glasses juu
Kumuona nikashusha kioo, kwa kujiamini kabisa akaniuliza wewe ndo mrs Mshana?? Kwanza nikapigwa na butwaa halafu hasira lakini nikajicontrol nikasema hapana!! Akawa kama kashangaa vile.halafu akasogea pembeni kidogo akapiga simu, simu yangu ikaita nikamwambia unanipigia mimi..!!!!
Duu akaja kwa hasira zote 'mimi nakuuliza kama wewe ni MRS MSHANA halafu unakataa?? Nikajua pamoja na urembo wote ule kuna shida mahali nikamjibu tu kwa ustaarabu 'mrs Mshana yuko hm mimi ni mr Mshana...!!!!
Nimeona watu wakifedheheka lakini huyu dada ilikuwa zaidi nikampa ule mzigo hakutaka hata lifti yangu
Nimekikumbuka hiki kisa nikaona nikitafute
 
tatizo alishajiandaa kukuwinda sasa shetan kamuacha peke yake mweeeeeh
 
sijui kwa nini hata baada ya wakoloni kuondoka lakini bado tunafikri kikoloni?,utakuta mswahili mwenzangu hata kusoma tu kiswahili hajui ila tumaneno twa kizungu kila dakika ukiongea nae katupia.yani baada ya miaka hamsini ya uhuru bado twaionea haya lugha yetu?.na huu mchanganyo wa hizi elimu zetuu ndo shida tupu
 
tatizo alishajiandaa kukuwinda sasa shetan kamuacha peke yake mweeeeeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji30] [emoji31] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shule shule shule......
Ndo maana kuna kiongozi mmoja wa siasa alisema akiingia madarakani atawekeza na kuipa uzito mkubwa Elimu Elimu Elimu....
 
Kisa chenyewe kilitokea mlimani city kule upande wa chini kabisa kusiko na magari mengi upande wa Sam Nujoma rd.
Tulikubaliana na jamaa yangu tukutane pale kuna mzigo nimpe, lakini baadae akanipigia simu kuwa kapata dharura hivyo anamtuma bebi wake na akampa na contact zangu
Haukupita muda nikapigiwa simu na huyo bebi wa jamaa nikamuelekeza nilipopaki gari aina ya gari na namba zake
Bidada akazingatia maelekezo na akafika mpaka nilipo,alikuwa kajiremba kweli na sun glasses juu
Kumuona nikashusha kioo, kwa kujiamini kabisa akaniuliza wewe ndo mrs Mshana?? Kwanza nikapigwa na butwaa halafu hasira lakini nikajicontrol nikasema hapana!! Akawa kama kashangaa vile.halafu akasogea pembeni kidogo akapiga simu, simu yangu ikaita nikamwambia unanipigia mimi..!!!!
Duu akaja kwa hasira zote 'mimi nakuuliza kama wewe ni MRS MSHANA halafu unakataa?? Nikajua pamoja na urembo wote ule kuna shida mahali nikamjibu tu kwa ustaarabu 'mrs Mshana yuko hm mimi ni mr Mshana...!!!!
Nimeona watu wakifedheheka lakini huyu dada ilikuwa zaidi nikampa ule mzigo hakutaka hata lifti yangu
Ha ha ha
mkuu huyu mdada alikuwa wa kupiga makofi aiseeee, sema tu huna hasira.

Usikute kamaliza kiingereza chote kwenye vocabulary zake, kajitutumua kutumia neno Mrs baada ya kuliona kwenye movie
 
Back
Top Bottom