Nikaulizwa: Eti wewe ndio mrs Mshana?

Nikaulizwa: Eti wewe ndio mrs Mshana?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kisa chenyewe kilitokea mlimani city kule upande wa chini kabisa kusiko na magari mengi upande wa Sam Nujoma rd.
Tulikubaliana na jamaa yangu tukutane pale kuna mzigo nimpe, lakini baadae akanipigia simu kuwa kapata dharura hivyo anamtuma bebi wake na akampa na contact zangu
Haukupita muda nikapigiwa simu na huyo bebi wa jamaa nikamuelekeza nilipopaki gari aina ya gari na namba zake
Bidada akazingatia maelekezo na akafika mpaka nilipo,alikuwa kajiremba kweli na sun glasses juu
Kumuona nikashusha kioo, kwa kujiamini kabisa akaniuliza wewe ndo mrs Mshana?? Kwanza nikapigwa na butwaa halafu hasira lakini nikajicontrol nikasema hapana!! Akawa kama kashangaa vile.halafu akasogea pembeni kidogo akapiga simu, simu yangu ikaita nikamwambia unanipigia mimi..!!!!
Duu akaja kwa hasira zote 'mimi nakuuliza kama wewe ni MRS MSHANA halafu unakataa?? Nikajua pamoja na urembo wote ule kuna shida mahali nikamjibu tu kwa ustaarabu 'mrs Mshana yuko hm mimi ni mr Mshana...!!!!
Nimeona watu wakifedheheka lakini huyu dada ilikuwa zaidi nikampa ule mzigo hakutaka hata lifti yangu
 
Hahahahha Kayumba huyo...wapo wengi wanajipigilia utaogopa ukimuona ila akiongea tu anapoteza point zote ulizompa kwa muonekano
 
ha ha ha English ya uswazi ilimchnganya ukizingatia alikua maeneo ya kishua (M_city)
 
Kisa chenyewe kilitokea mlimani city kule upande wa chini kabisa kusiko na magari mengi upande wa Sam Nujoma rd.
Tulikubaliana na jamaa yangu tukutane pale kuna mzigo nimpe, lakini baadae akanipigia simu kuwa kapata dharura hivyo anamtuma bebi wake na akampa na contact zangu
Haukupita muda nikapigiwa simu na huyo bebi wa jamaa nikamuelekeza nilipopaki gari aina ya gari na namba zake
Bidada akazingatia maelekezo na akafika mpaka nilipo,alikuwa kajiremba kweli na sun glasses juu
Kumuona nikashusha kioo, kwa kujiamini kabisa akaniuliza wewe ndo mrs Mshana?? Kwanza nikapigwa na butwaa halafu hasira lakini nikajicontrol nikasema hapana!! Akawa kama kashangaa vile.halafu akasogea pembeni kidogo akapiga simu, simu yangu ikaita nikamwambia unanipigia mimi..!!!!
Duu akaja kwa hasira zote 'mimi nakuuliza kama wewe ni MRS MSHANA halafu unakataa?? Nikajua pamoja na urembo wote ule kuna shida mahali nikamjibu tu kwa ustaarabu 'mrs Mshana yuko hm mimi ni mr Mshana...!!!!
Nimeona watu wakifedheheka lakini huyu dada ilikuwa zaidi nikampa ule mzigo hakutaka hata lifti yangu

Mkuu, ndio hao wanao "deep" badala ya ku beep
 
hahahaaaa!!! kumbe mbururu mburulaaa hahahaaaaa!!!!!!! kiingilishi sio nchezo bwana(kwa sauti ya kimakonde)@Mshana jr pole best
 
Hahahahahaaaaaaa!!!! ngoja nitizame kwa jicho la tatu....best au una sura nzuri kama demu?(joke)
 
Kisa chenyewe kilitokea mlimani city kule upande wa chini kabisa kusiko na magari mengi upande wa Sam Nujoma rd.
Tulikubaliana na jamaa yangu tukutane pale kuna mzigo nimpe, lakini baadae akanipigia simu kuwa kapata dharura hivyo anamtuma bebi wake na akampa na contact zangu
Haukupita muda nikapigiwa simu na huyo bebi wa jamaa nikamuelekeza nilipopaki gari aina ya gari na namba zake
Bidada akazingatia maelekezo na akafika mpaka nilipo,alikuwa kajiremba kweli na sun glasses juu
Kumuona nikashusha kioo, kwa kujiamini kabisa akaniuliza wewe ndo mrs Mshana?? Kwanza nikapigwa na butwaa halafu hasira lakini nikajicontrol nikasema hapana!! Akawa kama kashangaa vile.halafu akasogea pembeni kidogo akapiga simu, simu yangu ikaita nikamwambia unanipigia mimi..!!!!
Duu akaja kwa hasira zote 'mimi nakuuliza kama wewe ni MRS MSHANA halafu unakataa?? Nikajua pamoja na urembo wote ule kuna shida mahali nikamjibu tu kwa ustaarabu 'mrs Mshana yuko hm mimi ni mr Mshana...!!!!
Nimeona watu wakifedheheka lakini huyu dada ilikuwa zaidi nikampa ule mzigo hakutaka hata lifti yangu

mbona hata Iddi Amin Dada alimwita malkia Elizabeth Mr ?
 
Mwanzoni nilielewa kuwa wewe una uzuri wa kike ndo maana akawa anakuita mrs kumbe tatizo ngeli ya genge yani nimecheka sana
 
Back
Top Bottom