Mkuu una puyanga sasa ¡!Yule mkeo aliyekuwa anatembea na baba mdogo wake bado upo naye???
Hapana mkuu vipi kwaniMkuu una puyanga sasa ¡!
Hata Fid Q na Madee achilia mbali mzee wa kibamia Roma wanafanya bongo flavaMsanii Niki mbishi kutoka tamaduni music ameacha hiphop na
Sasa anafanya bongo flava , Niki huwa anachukuliwa kama mmoja ya wasanii wakali kabisa wa Hip Hop barani Afrika lakini unfortunately amesaliti harakati na kuanza kuimba mambo ya kipuuzi ambapo inaaminika Msanii akiimba vitu vya kipuuzi ndo anapata mafanikio
Picha ya Niki ya kusikitisha hiyo hapo enjoy!!!!!
View attachment 739191
una mix mchiriku na reggaeHapana mkuu vipi kwani
Basi yaishe nisije nikawa nakukumbusha machunguuna mix mchiriku na reggae
Life must go on, cpend ku ongelea vitu pastBasi yaishe nisije nikawa nakukumbusha machungu
Namkubali sana ila ulevi haujawahi kumuacha salama
Mmmmhhhh!!!!!! SidhaniHivi ndiyo huyu aliyeokotwa na polisi kalewa ile jana?
Hata mie najiuliza kama ni Duke kweliWe ni Duke? Kama sio Duke basi hulitendei haki hilo jina! Anyways ukipigwa redioni ndo shows na endorsements huja, japo siku hizi social networks zimeanza kurahisisha
Mmmmhhhh!!!!Siamin kama anaweza fanya ivo,atakuwa nae anaforce mku**u kutafuna muwa
Pia atafute Underground legendary na Nyakati za mashakaPia tafuta feedback...hiyo ndio balaa kabisa
Una mjua kumbe! Sizani kama nikki ana weza fanya upuuzi kama huo mtoa mada ni bongo flava. Nikki asha zushiwa vingi sana hadi waka sema ana Ngoma [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Aisee mimi huyo ngoma yake ninayoikubari sana sana ni nyakati za mashaka aliyomshirikisha grace matata....