Niki Mbishi ameacha rasmi kufanya muziki wa hip hop

Niki Mbishi ameacha rasmi kufanya muziki wa hip hop

Msanii Niki mbishi kutoka tamaduni music ameacha hiphop na
Sasa anafanya bongo flava , Niki huwa anachukuliwa kama mmoja ya wasanii wakali kabisa wa Hip Hop barani Afrika lakini unfortunately amesaliti harakati na kuanza kuimba mambo ya kipuuzi ambapo inaaminika Msanii akiimba vitu vya kipuuzi ndo anapata mafanikio

Picha ya Niki ya kusikitisha hiyo hapo enjoy!!!!!
View attachment 739191
Hata Fid Q na Madee achilia mbali mzee wa kibamia Roma wanafanya bongo flava
 
Yani mavazi ndio yamefanya useme amebadili aina ya muziki anaofanya!?
 
Nikki alishatangaza kabla ila cha ajabu aliendelea kutoa ngoma
 
Sihusiki nao. ni ngoma kal sana


Ila uyo aliejiandiksha ID Duke n wakumpuuza
Naona anatumia nguvu nying kufyatua nyuz kuaminisha watu alafu analeta habar nusu nusu zisizo na mashko
Iv kwa akil zako wakusema Hashim dogo ndio mwana hiphop bora afrika??
 
Aisee mimi huyo ngoma yake ninayoikubari sana sana ni nyakati za mashaka aliyomshirikisha grace matata....
Una mjua kumbe! Sizani kama nikki ana weza fanya upuuzi kama huo mtoa mada ni bongo flava. Nikki asha zushiwa vingi sana hadi waka sema ana Ngoma [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom