Niki Mbishi ameacha rasmi kufanya muziki wa hip hop

Sihusiki nao. ni ngoma kal sana

Ila uyo aliejiandiksha ID Duke n wakumpuuza
Naona anatumia nguvu nying kufyatua nyuz kuaminisha watu alafu analeta habar nusu nusu zisizo na mashko
Iv kwa akil zako wakusema Hashim dogo ndio mwana hiphop bora afrika??
Tuliza nyege wewe
 
Tuliza nyege wewe
Umeona sasa mashudu yanavyojitenga[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ila fresh tuletee updates, japo unamkosea sana duke maana kuna pumba umeandika nimekukaushia tu
 
Nikki anastyle bovu sana kama anaimba kama anajaribu, hua inamtoa anaonekana mdwanzi tu. Mfano hata Chorus ya I am Sorry JK ameimba ovyo sana japo wimbo una ujumbe mzuri.

Huyu jamaa angeacha ubishi wa ovyo akasoma kiwanda (industry) inavyokwenda aisee anamashairi mazuri saana.

Ila style yake ya kuchana/kuimba kama anageza flan....daah atasubiri sana. Aangalie akina Fid Q, J moe, FA, wanafanya mziki flan serious na style zao ziko bold.

Aache kuunganisha vimaneno vya kiswahili ovyo, aimne topic za maana. Play boy, Jogoo alijitaodi sana. Ila nashangaa mtu anakuja na idea ya ovyo kabisa anaimba vitu havina mbeke wala nyuma kajaza vimisemo kibao anataka kujifanya yeye ndo baba wa vimesemo vya kutunga, atasubiri sana.

One Incredible ni bonge bonge la HipHop artist, hanaga masikhara jamaa yupo serious. Hata ukisikiliza kazi zake utaona kabisa jamaa kaimba kwasababu ilikua ni lazima aimbe, haijaimba tu sababu ya stimu za bangi au eti kwasababuu anaweza tu kutunga wimbo ukawa na vina sjui
 
Ndiyo mimi ndiye duke gervakius
Mshauri ndugu yako kama yupo serious game ni strategy sio suala la kwamba tu yeye ni mtaalam wa kutunga na kufree style.

Kitu cha kwanza, Nikki hawezi kabisa chorus, hilo eneo asijaribu hata kidogo. Ameharibu ngoma zake nyingi sana kwa yeye mwenyewe kufanya chorus. Au akikaa kwenye chorus mwambie mwana aache mambo ya kuimba, hua anaharibu mbaya!! Afanye chorus za hiphop kama chorus za fidq kwenye MwanzaMwanza, Sumu, etc. Wimbo wa I am Sorry JK aliharibu sana chorus kwa kujiimbishaimbisha sema watu walimwelewa tu coz ujumbe uliwagusa maraia.

Pili, vina vya kuungaunga na vijimisemo (metaphors) watu walivipenda wakat anajitambulisha asifikiri yale ndo maisha. Atunge nyimbo za maisha/harakati/thug life/ hard topics then ajaze mistari ya maana na astick kwenye topic kuliko kuimba vitu vya kuokoteza ambavyo vinafanya watu wamchukulie poa. Akina Prof Jay, wanaimba vitu vya maana sana aige!

Tatu, muziki hajaanzisha yeye huyu jamaa, ameukuta!! Hua namuona anapenda battle za kujifanya yy ndo anajua sana muziki, fine na mm nakubali anajua. But anajilostisha snaa kwa kujifanya yy ndo kaleta muzik, ajifunze kwa watu waliofanikiwa ktk mazingira yake ili afanye maisha. We kujifa ya unajua sana KRS One anavofanya mziki afu inakusaidia nn. Otherwise akae kimya basi asilielie njaa. Akina AY, DARASA wanachange na kufanya kazi ye anabaki na mziki wa kihunihuni ambao mie nauita sio muxiki serious, ni mziki anaofanya nikki ni mziki flan wa kubattle na mtu tu au kufreestyle lkn sio wimbo wa kurekodi!! Mashairi mepesi sana!!

Nina pamphlet la ushauri kwa huyu chalii,
 
Ushauri mzuri but huyu sio Duke Gervalius kama umeshawahi kumsikiliza Duke basi utagundua huyu sio yeye!
 
Umeona sasa mashudu yanavyojitenga[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ila fresh tuletee updates, japo unamkosea sana duke maana kuna pumba umeandika nimekukaushia tu
Yeeah anamkosea kichizi bila ya yeye kujua mana ana pumba nyingi sana.
 
Ndiyo mimi ndiye duke gervakius
Sorry to say this: Duke beat zako nyingi zinawaumiza hawa jamaa kazi zao zinakua za kawaida. Beat za kusinzia au sjui nisemaje sio beat za mtu kutengeneza ngoma akaingia nayo kwenye soko la ushindan. Sjui vitu vingi hapo but ngoma kama Playboy beat ilikua poa ...ilikua inagongwa na inaskika. Learn somthing from beat za P Funk na Q au hata za Master J

All in all ulikua na spirit nzuri ya kuwatambulisha hawa jamaa na beat zako zimeweza kuonesha uwezo wao coz mostly beat zako hua sio kitu ispokua ni mashairi ya msanii mwenyew, so akimbwela haez bebwa na beat. But kwa game ya sasa aisee beat imekua ni kitu muhim sana. T Touch anafanya vzur sana kwenye hili. Yan unapofanya kazi ya msanii bas make sure beat yako inamsaidia pia ngoma yake iskike. Mfano mbovu ni beat kwenye ule wimbo wa MAMA LUCIA ....sjui ata ni wewe ulitengeneza au nan, but its a damn mess!!

Learn smthng hapo bro.
 
Ushauri mzuri but huyu sio Duke Gervalius kama umeshawahi kumsikiliza Duke basi utagundua huyu sio yeye!
Dah. Huu sasa upuuzi. Mbona anasema ni yeye????

Mods mnatusaidiaje kuhusu mtu huyu anayesema ye ni Duke nakati sio!!!!!!
 
Binafsi naamini ukiona unashindwa kutoboa kwenye muziki kwenye zama hizi zenye platforms pana na ni msanii mkubwa hupaswi kulalamikia watu wengine. Tatizo ni WEWE mwenyewe.

Hata huyo Nikki Mbishi aweke ubishi pembeni atafute facts. Huyo dogo nimeanza kumsikia au ameanza kusikika kwenye freestyle battle kwenye XXL ya clouds FM ambayo ililenga underground Emcees.

Wakati ule Magweair ndio alikuwa mfalme. Nikki Mbishi alifunika sana na kupewa sifa nyingi sana baada ya kushinda. Nafikiri tatizo lilianzia pale pale.

Alipaswa kupambana kulijua game vizuri badala ya kujiona tayari yupo the same level na akina Jaymoe. Ni kama alianza kujivika viatu ambavyo si vyake mapema sana.

Kweli ni very talented lakini kwa mtazamo wangu aliwahi viti vya mbele sana kabla ya wakati na kujikuta kuna vitu ameruka ambavyo vinamkosti hadi sasa maana hajawahi kukubali kujifunza na pengine hasikilizi ushauri wa producers.

Haya ni mawazo yangu tu ili kumsaidia hasa nikikumbuka njia aliyotumia kutoboa na umaarufu wa ghafla aliopata kupitia freestyle akiwa underground.
 
Mshauri ndugu yako kama yupo serious game ni strategy sio suala la kwamba tu yeye ni mtaalam wa kutunga na kufree style.

Kitu cha kwanza, Nikki hawezi kabisa chorus, hilo eneo asijaribu hata kidogo. Ameharibu ngoma zake nyingi sana kwa yeye mwenyewe kufanya chorus. Au akikaa kwenye chorus mwambie mwana aache mambo ya kuimba, hua anaharibu mbaya!! Afanye chorus za hiphop kama chorus za fidq kwenye MwanzaMwanza, Sumu, etc. Wimbo wa I am Sorry JK aliharibu sana chorus kwa kujiimbishaimbisha sema watu walimwelewa tu coz ujumbe uliwagusa maraia.

Pili, vina vya kuungaunga na vijimisemo (metaphors) watu walivipenda wakat anajitambulisha asifikiri yale ndo maisha. Atunge nyimbo za maisha/harakati/thug life/ hard topics then ajaze mistari ya maana na astick kwenye topic kuliko kuimba vitu vya kuokoteza ambavyo vinafanya watu wamchukulie poa. Akina Prof Jay, wanaimba vitu vya maana sana aige!

Tatu, muziki hajaanzisha yeye huyu jamaa, ameukuta!! Hua namuona anapenda battle za kujifanya yy ndo anajua sana muziki, fine na mm nakubali anajua. But anajilostisha snaa kwa kujifanya yy ndo kaleta muzik, ajifunze kwa watu waliofanikiwa ktk mazingira yake ili afanye maisha. We kujifa ya unajua sana KRS One anavofanya mziki afu inakusaidia nn. Otherwise akae kimya basi asilielie njaa. Akina AY, DARASA wanachange na kufanya kazi ye anabaki na mziki wa kihunihuni ambao mie nauita sio muxiki serious, ni mziki anaofanya nikki ni mziki flan wa kubattle na mtu tu au kufreestyle lkn sio wimbo wa kurekodi!! Mashairi mepesi sana!!

Nina pamphlet la ushauri kwa huyu chalii,
Niki mbona kawaida, mjuaji ni Nash mc
 
Binafsi naamini ukiona unashindwa kutoboa kwenye muziki kwenye zama hizi zenye platforms pana na ni msanii mkubwa hupaswi kulalamikia watu wengine. Tatizo ni WEWE mwenyewe.

Hata huyo Nikki Mbishi aweke ubishi pembeni atafute facts. Huyo dogo nimeanza kumsikia au ameanza kusikika kwenye freestyle battle kwenye XXL ya clouds FM ambayo ililenga underground Emcees.

Wakati ule Magweair ndio alikuwa mfalme. Nikki Mbishi alifunika sana na kupewa sifa nyingi sana baada ya kushinda. Nafikiri tatizo lilianzia pale pale.

Alipaswa kupambana kulijua game vizuri badala ya kujiona tayari yupo the same level na akina Jaymoe. Ni kama alianza kujivika viatu ambavyo si vyake mapema sana.

Kweli ni very talented lakini kwa mtazamo wangu aliwahi viti vya mbele sana kabla ya wakati na kujikuta kuna vitu ameruka ambavyo vinamkosti hadi sasa maana hajawahi kukubali kujifunza na pengine hasikilizi ushauri wa producers.

Haya ni mawazo yangu tu ili kumsaidia hasa nikikumbuka njia aliyotumia kutoboa na umaarufu wa ghafla aliopata kupitia freestyle akiwa underground.
NI kweli, Muda bado anao
 
Back
Top Bottom